Tetesi: Bodi Simba yaridhia kuachana na Robertinho

Kila mwaka inafukuza kocha na kuajiri kocha mpya! Timu ya ajabu sana hii.
 
Namtasemaaa
 
Kaaazi kweli kweli.
 
Taarifa yako hii sio ya kweli. Mimi nipo klubuni na vikao vyote nashiriki na hatujajadili suala la Kocha.
 
Manchester United mpaka leo bado hajafukuzwa. Stop making erratic decisions. Winning is a process. Hakuna instant results. Ingekuwa hivyo coach wa Arsenal angeshafukuzwa zamani.
 
Msisubirie gemunya Prisons,mtoeni hata Leo

Tushawaambia muda mrefu timu mpeni Mgunda
 
Taarifa yako hii sio ya kweli. Mimi nipo klubuni na vikao vyote nashiriki na hatujajadili suala la Kocha.
Mnasubiri nini kumuondoa kocha? Miezi 9 yupo na timu bado hajapata muunganiko tu?
Hamuoni timu inashinda kwa uwezo binafsi wa wachezaji tu?

Au mpaka aitie hasara klabu ndio mumuondoe?

Kuweni na huruma na mioyo ya washabiki wenu!

Bado kurushiwa makopo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…