Tetesi: Bodi Simba yaridhia kuachana na Robertinho

Hayo mafanikio Makubwa unayosema hayawezi kuletwa na Robertinho amini usiamini.
 
Hayo mafanikio Makubwa unayosema hayawezi kuletwa na Robertinho amini usiamini.
Tatizo ni uvumilivu.Kwani wakati wanampa kazi hawakujua hilo?.Kwasababu kama hawamwamini wakati walimtafuta wenyewe maana yake ata atakapokuja mwingine maneno yatakua haya haya.kwasababu timu kucheza vizuri kunachangiwa na vitu vingi.
 
Kocha kasajiliwa maveteran anapambana apate matokeo

Wasiojua mpira miongon mwao viongoz wanataka timu icheze kama yanga, Yaani Saido, Chama na ngoma wacheze soka la kupress kama max na mudadhiri, seriously[emoji1787][emoji1787]
 
Kusajili kwa kuokota wachezaji airport na kwenda kuzurura nao Uturuki kuangalia waigizaji wa Ottomans sasa ndio unawalipa mnachostahili.

Hapo bado kuna mziki wa Al Ahaly unakuja, mtajuuta.
 
Wabongo bana, mtu unashinda kuanzia ngao ya hisani, mechi zote NBC na unafuzu makundi lakini bado Wanataka kukutupia virago, mnataka afanyaje? Mbona Mourinho kwenye mafanikio hakua na pira biriyani?
Simba ni dubwasha kubwa sio ya kucheza mpira wa ovyo kama wa jangwani
 
Bora mgunda arudi [emoji122] na Inaabidi tujue yanga wanapataga wap makocha wao
Yanga wameaamua kuwa na falsafa ya klabu ambayo ni kumiliki mpira kwaiyo wanasajiri wachezaji na makocha wanaoendana na falsafa yao hapo hata kocha akiondoka uyo atakaekuja hatakua na ulazima wa kuanza upya kwa sababu anakuta tayari kuna misingi ya falsafa yake.. simba tangu kuondoka kwa uchebe falsafa ya timu imekua haijulikani kwaiyo inamlazimu kila kocha anaekuja kuanza upya hicho ndicho kinachowakwamisha
 
Utopolo..mwiko nyuma mmejaa kwenye huu Uzi kuliko Simba wenye kocha wao...hii inaonyesha namna gani Robetinho alivyo miba kwenu...
Pambaneni na hali yenu.
 
Hadi Simba imefikia mafanikio Yale halisi kina mouhamed hussen ,shomari na mzamiru yaasin wote kina baleke ,wamefukuzwa
 
Kama uongozi utayumbishwa na makelele ya washabiki oya oya na kufukuza kocha basi Simba ijiandae kuwa na msimu mbaya tena. Nimegundua pia kuwa baadhi ya wanaojiita washabiki wa Simba ni wahuni toka upande wa pili na wanafanya hivyo ukiwa ni mkakati mahsusi wa kuleta mtafaruku.
 
Manchester United mpaka leo bado hajafukuzwa. Stop making erratic decisions. Winning is a process. Hakuna instant results. Ingekuwa hivyo coach wa Arsenal angeshafukuzwa zamani.
Unamzungumzia kocha wa arsenal ipi?
 
Ila Kama taarifa hizi ni za kweli hatutaki kumsikia huyu kocha anatupa vijisababu kuwa alikuwa anapangiwa wachezaji na viongozi.
Ila nafikiri sio sahihi kuachana naye Sasa maana tuna mchezo ngumu wa Africa super league.
Kwa akili yako unaweza kumtoa al ahly ?
 

Watafute kocha muargentina au mwarabu, si mlimuona kocha wa yanga! Nabi na sasa Gamondi muargentina anavyokiwasha!
 
Wana thiiiiiimbaaaaaaa oooohh kimewaka na bado hamjasema mtakoma na kulia
Washabiki na wapenzi wa Simba/Yanga sc ni maneno tu. Wanaoumia ni wenye hisa Mkuu. Kama wewe ni mshabiki/ mpenzi wa timu flani, ikufungwa unalia basi pole, Otherwise hio timu iwe na mchango kwenye meza "wakati wa kuweka wocha kwenye mwili wako
 
Naunga mkono hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…