Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Wasi ishie hapo waende mpaka kwa Diva Malinzi
Ndio ujue Bongo hatuna taasisi za maana. Ukiwakuta wamekula suti na maV8 utadhani ni watu wanaoifanyia nchi vitu vya maanaMambo madogo madogo utasikia sijui bodi ya nini imewawajibisha watu!!! Ila kwenye mambo siriazi kama reforms holaaa😎
Ni fingerprint ya kwenye simuPaten ndiyo nani
Ova