Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,964
- 11,078
AiseeKila mchimba shimo atatumbukia mwenyewe.
Hao walishambulia dogo na kumtabiria hata maliza miezi minne atapotea.
Sasa wamepotea wao hadi warudi shule kusomea habari.
Kuna watu wana nyota kali usiwalaani utajilaani mwenyewe.
