Bodi ya Ligi kuweka ‘Gas Detector’ kukagua hewa Vyumba vya kubadilishia nguo Dabi ya Kariakoo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas, amesema vifaa maalum vya gas detector vitatumika kukagua hali ya hewa katika vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mchezo wa dabi ya Kariakoo. Amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha timu zinapata mazingira salama na sahihi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya TFF jijini Dar es Salaam, Barnabas amesema kifaa hicho kitaweza kupima kiwango cha oksijeni na kubaini uwepo wa gesi nyingine ndani ya vyumba hivyo. Amesema TPLB itashirikiana na madaktari na wamiliki wa viwanja kuhakikisha vyumba vyote vya kubadilishia nguo vinakaguliwa na kuwa salama kwa wachezaji.

Hata hivyo amesema uwepo kwa kifaa hicho utasaidia kutatua changamoto inayosababisha wachezaji kutotumia vyumba vya kubadilishia nguo .

Vipi umeionaje hiyo!?

​
 
Wapi maji watanunuliwa na gesi ya ukaa itamiminwa kama kawaida
 
Pia wawaambie yanga kuwa waingilie kwenye mageti husika. Timu itakayopita katika mageti tofauti na yaliyoidhinishwa basi ipokonywe points
 
TFF na Bodi yake ya ligi imejaa ujinga.
Muda wote walikuwa wapi wasichukue hatua stahiki?
 
Pia wawaambie yanga kuwa waingilie kwenye mageti husika. Timu itakayopita katika mageti tofauti na yaliyoidhinishwa basi ipokonywe points
Si tu wapite kwenye mageti na waache kwenda kwenye lile lijumba la kubadili nguo badala ya kutumia vyumba halali vya kubadili nguo ni hayo tu
 
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas, amesema vifaa maalum vya gas detector vitatumika kukagua hali ya hewa katika vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mchezo wa dabi ya Kariakoo. Amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha timu zinapata mazingira salama na sahihi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya TFF jijini Dar es Salaam, Barnabas amesema kifaa hicho kitaweza kupima kiwango cha oksijeni na kubaini uwepo wa gesi nyingine ndani ya vyumba hivyo. Amesema TPLB itashirikiana na madaktari na wamiliki wa viwanja kuhakikisha vyumba vyote vya kubadilishia nguo vinakaguliwa na kuwa salama kwa wachezaji.

Hata hivyo amesema uwepo kwa kifaa hicho utasaidia kutatua changamoto inayosababisha wachezaji kutotumia vyumba vya kubadilishia nguo .

Vipi umeionaje hiyo!?

Kwani wachezaji wa Yanga na Simba ndio tu wasioweza kuvuta hewa chafu? Vipi kuhusu wachezaji kutoka timu ndogo? Je, wao hawana haki ya kuvuta hewa safi?
 
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas, amesema vifaa maalum vya gas detector vitatumika kukagua hali ya hewa katika vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mchezo wa dabi ya Kariakoo. Amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha timu zinapata mazingira salama na sahihi kwa ajili ya maandalizi ya mchezo.

Akizungumza na waandishi wa habari katika Makao Makuu ya TFF jijini Dar es Salaam, Barnabas amesema kifaa hicho kitaweza kupima kiwango cha oksijeni na kubaini uwepo wa gesi nyingine ndani ya vyumba hivyo. Amesema TPLB itashirikiana na madaktari na wamiliki wa viwanja kuhakikisha vyumba vyote vya kubadilishia nguo vinakaguliwa na kuwa salama kwa wachezaji.

Hata hivyo amesema uwepo kwa kifaa hicho utasaidia kutatua changamoto inayosababisha wachezaji kutotumia vyumba vya kubadilishia nguo .

Vipi umeionaje hiyo!?

Kupata vituko kama hivi andika

Siondoki 🇹🇿 kwenda namba 15577
 
watanganyika akili zetu zinajulikana zilivyo, zinachezewa na kila mja mwenye mamlaka...
 
Hivyo hata sio vitu vya kutangaza ilitakiwa wakae kimya ili wawakamatwe vizuri.
Bodi ya ligi inajua kila kitu kinachofanyika na huenda inasaidia zoezi la kupuliza dawa.
Imekuja hadharani kutafuta umaarufu kwa mashabiki wa soka.
 
Yaani hicho kifaa unaweza hata kuwa nacho ndani ni kama vile vifaa vya moto vinavyowekwa kwenye majengo makubwa wao wameona sasa watangaze wahuni tu hao..
 
Back
Top Bottom