Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) imesema imerejesha utaratibu wa awali wa ununuaji wa tiketi wakati maboresho ya mfumo mpya yakiendelea kufanyiwa kazi.
“Simba dhidi ya Young Africans upo kwenye mfumo na mashabiki wanaweza kununua tiketi”
Kaimu Ofisa Habari wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB)...
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Cornel Barnabas, amesema vifaa maalum vya gas detector vitatumika kukagua hali ya hewa katika vyumba vya kubadilishia nguo wakati wa mchezo wa dabi ya Kariakoo. Amesema hatua hiyo inalenga kuhakikisha timu zinapata mazingira salama na sahihi kwa...
Wakuu!
Bila shaka msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya NBC umetoa funzo na mwelekeo wa namna ya kuboresha kanuni za mashindano kuelekea msimu wa 2026/27 ili kuongeza nidhamu, ushindani na hadhi ya ligi. Kuna Matukio ya kukomewshwa ili kuondokana na uswahili ambao unaifanya Ligi yetu kuwa bora zaidi...
"Bodi ya Ligi Kuu Tanzania tunaendelea na maandalizi ya mchezo wa Dabi ya Kariakoo, na ni matumaini yetu kuwa wadau wengine, zikiwemo hizo timu mbili za Yanga na Simba, wanaendelea na maandalizi kuelekea huo mchezo. Ni mchezo mkubwa, mchezo ambao ni kioo cha ligi yetu." - Karim Boimanda, Afisa...
Bodi ya ligi kuu tanzania bara TPLB imekutana na viongozi wa yanga Leo asubuhi kujadili hatma ya mchezo nambari 184 ulioahirishwa Tarehe 8 mwezi march mwaka huu kutokana na sababu ambazo Bado hazijawekwa wazi na Bodi hiyo.
Baadhi ya viongozi wa yanga waliohudhuria katika kikao hicho ni makamu...
Ni wiki ya maumivu… FA tulifika mbali, tukashindwa kutoboa. CAF tuliinua matumaini hadi fainali, tukarudi mikono mitupu.
Lakini sasa tumekubali: vilio vya fainali vimepita – imebaki kazi moja tu… kuchukua LIGI KUU!
Mechi mbili zimebaki – Kengold na Kagera Sugar, wanakuja kama vibonde lakini...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha Novemba 14, 2024 ilipitia mwenendo na matukio mbalimbali ya Ligi na kufanya maamuzi yafuatayo;
Aliyekuwa Kocha Mkuu wa klabu ya Young Africans, Miguel Gamondi amefungiwa michezo mitatu (3) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.