Bodi ya ligi na TFF wanaionea Yanga, ila tutafika maana sisi ni watetezi halisi wa nchi hii

𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦💬

"Ratiba yetu ni ngumu sana. Tumemaliza muda mwingi kwenye Ndege kuliko Uwanja wa mazoezi. Tangu jumatano hatujafanya mazoezi kujiandaa na mchezo huu.

Tumefika Mwanza jana usiku na tuna siku moja tu ya mazoezi. Hii sio rafiki kwa afya ya mwili wa wachezaji.

Hatuko hapa kulalamika lakini tunaamini Viongozi wa mpira wetu jambo hili kwa wakati mwingine wanatakiwa kulitazama kwa jicho tofauti" Kocha Mkuu Nasreddine Nabi

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
 
Maswali mengine bhana!! Kwa hiyo mtu akija humu jukwaani na mada yake inayoihusu Yanga kuhusu ufinyu wa muda, basi mtu huyo anawakilisha mawazo ya watu wote wanao fungamana na Yanga!!

Kweli akili ni nywele.
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦💬

"Ratiba yetu ni ngumu sana. Tumemaliza muda mwingi kwenye Ndege kuliko Uwanja wa mazoezi. Tangu jumatano hatujafanya mazoezi kujiandaa na mchezo huu.

Tumefika Mwanza jana usiku na tuna siku moja tu ya mazoezi. Hii sio rafiki kwa afya ya mwili wa wachezaji.

Hatuko hapa kulalamika lakini tunaamini Viongozi wa mpira wetu jambo hili kwa wakati mwingine wanatakiwa kulitazama kwa jicho tofauti" Kocha Mkuu Nasreddine Nabi

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
 
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦[emoji187]

Si mlifurahia kwenda kuchezea mchanga wa Dubai?
 
Wananchi wako Mwanza now.

Kifupi Yanga wana ratiba ngumu sana ni vile tu wako bora na wanashinda mechi. Wangekuwa wanafungwa au kutoa sare sauti zingekuwa zimeshasikika mtaani!

Tuwaombee. Hawatendewi haki kabisa.
Mnapenda kulalamika ninyi! Simba mechi zake walichezaje? Mbona walienda Malawi na Angola na hawakupewa huo upendeleo? Wapambane, waache malalamiko yasiyo na maana.

Vv
 
Nashangaa baadhi ya mashabiki mnavyojiogopa hii ratiba wala sio mbaya sana kwetu na mechi ya kesho hata tukipoteza au kutoa sare sioni shida yoyote, naona mtani kama ana ratiba ngumu zaidi kuliko sisi angalia kuanzia game ya Tz Prison mpaka ya kagera kati ya mechi 12 ni mechi 1 tu pekee ndio tutatoka nje ya dar, kuna watu lazima waje walie kwa hii ratiba.

Angalia game za mtani toka ya Ruvu mpaka kwa KMC.View attachment 2414509View attachment 2414510View attachment 2414511
Screenshot_2022-11-12-15-13-42-31_955f68c4df44ad6a86e46b05cf65099a.jpg
 
Nyie wenyewe mlisema kusiwe na viporo sasa mnalalamika nini,pambaneni na hali mbwa nyinyi
 
Nashangaa baadhi ya mashabiki mnavyojiogopa hii ratiba wala sio mbaya sana kwetu na mechi ya kesho hata tukipoteza au kutoa sare sioni shida yoyote, naona mtani kama ana ratiba ngumu zaidi kuliko sisi angalia kuanzia game ya Tz Prison mpaka ya kagera kati ya mechi 12 ni mechi 1 tu pekee ndio tutatoka nje ya dar, kuna watu lazima waje walie kwa hii ratiba.

Angalia game za mtani toka ya Ruvu mpaka kwa KMC.View attachment 2414509View attachment 2414510View attachment 2414511View attachment 2414512
Hizi mechi kwa namna zilivyo jipanga, haki ya nani zitaondoka na benchi lote la ufundi, kwa mara nyingine tena.

Safari hii Matola wa watu hana pa kukimbilia. Lazima watamla tu kichwa na mwenzake Mgunda.
 
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦💬

"Ratiba yetu ni ngumu sana. Tumemaliza muda mwingi kwenye Ndege kuliko Uwanja wa mazoezi. Tangu jumatano hatujafanya mazoezi kujiandaa na mchezo huu.

Tumefika Mwanza jana usiku na tuna siku moja tu ya mazoezi. Hii sio rafiki kwa afya ya mwili wa wachezaji.

Hatuko hapa kulalamika lakini tunaamini Viongozi wa mpira wetu jambo hili kwa wakati mwingine wanatakiwa kulitazama kwa jicho tofauti" Kocha Mkuu Nasreddine Nabi

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Hii ni tathmini tu ya mwalimu. Na wala siyo malalamiko kama wengine wanavyotaka kulazimisha.

By the way, timu inawachezaji wa kutosha na wenye sifa ya kupambana. Hivyo sitegemei kisingizio cha aina yoyote.
 
Hizi mechi kwa namna zilivyo jipanga, haki ya nani zitaondoka na benchi lote la ufundi, kwa mara nyingine tena.

Safari hii Matola wa watu hana pa kukimbilia. Lazima watamla tu kichwa na mwenzake Mgunda.
Kocha wako analialia huko ratiba inambana[emoji23][emoji23][emoji23]wewe unadanga na timu kubwakubwa huku ukiwaombea mabaya
 
Nawaombea mabaya, au ndiyo ukweli wenyewe? Katika hizo mechi 8, lazima mtashinda, mtafungwa, na pia kutoa sare mechi kadhaa.

Baada ya hapo, kelele za kuwakataa wachezaji! Makocha na CEO zitatawala kama ilivyo desturi yenu.
 
Hizi mechi kwa namna zilivyo jipanga, haki ya nani zitaondoka na benchi lote la ufundi, kwa mara nyingine tena.

Safari hii Matola wa watu hana pa kukimbilia. Lazima watamla tu kichwa na mwenzake Mgunda.
Naona watapoteana hapo na sisi tuna game tano tu tukikaza hapa basi tuna uhakika wa kutetea ubingwa.
 
Simba alitoka kucheza champions league mwaka jana sauz Africa akampumzika siku moja akacheza derby mechi iliisha sare yaani manara kashawajua ni mambumbu kila anachowaambia mnabeba tu akiwaambia twendeni airport tukamwagilie maji kesho asubuh mko pale akisema TFF inawaonea mna beba kama ilivyo wala hamna fikira za kuwaza mambo kwa upana kazi kweli kweli.

Hii ni wa juzi tu hapa angalia ilivyokuwa ulimsikia nani analalamika yule luc aymel alikuwa sahihi kuwaita vile.
IMG-20221104-WA0000.jpg
 
𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦[emoji187]

"Ratiba yetu ni ngumu sana. Tumemaliza muda mwingi kwenye Ndege kuliko Uwanja wa mazoezi. Tangu jumatano hatujafanya mazoezi kujiandaa na mchezo huu.

Tumefika Mwanza jana usiku na tuna siku moja tu ya mazoezi. Hii sio rafiki kwa afya ya mwili wa wachezaji.

Hatuko hapa kulalamika lakini tunaamini Viongozi wa mpira wetu jambo hili kwa wakati mwingine wanatakiwa kulitazama kwa jicho tofauti" Kocha Mkuu Nasreddine Nabi

#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
Profesori NABI jiandae na rungu la MSOMALI kwa kuisema vibaya TIFUTIFU. Kifungo na faini kama Manara vinakuhusu.
 
Yaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Hapo Tunis kulikuwa na Flight ya moja kwa moja bila kupitia Asia?
 
Profesori NABI jiandae na rungu la MSOMALI kwa kuisema vibaya TIFUTIFU. Kifungo na faini kama Manara vinakuhusu.
Alichokisema ni maoni yake kama mwalimu. Hivyo hata kama hiyo TFF yenyewe imejaa wanazi wa simba! Bado sioni rungu la aina yoyote ile kwa Profesa Nabi.
 
Hakuna asiejua kuwa hayo ni maoni yake wala si malalamiko, lakini wenzako wameshapata sababu ya kumfungia kuwatoa mchezoni Uto na kuwapa nafasi Makolo.
Atasema hii ni mara ya pili, mara ya kwanza kabla timu haijaenda Tunisia alitoa kauli inayofanana na hii.
 
Yaani wewe ni mpumbavu, unatoka Tunisia unapita Dubai kuzurura unataka nani akuonee huruma. Niwaulize Dubai mlipita kufanya Nini Kama siyo ushamba?
Mmh wew ni wa kuonewa huruma, nadhani hata ruti za ndege huzijui
 
Back
Top Bottom