Bodi ya Ligi: Tiketi za Simba Vs Yanga zitatumika tarehe itakayopangwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.

“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
 
Wewe ulitegemea tofauti na hivyo?
Turudi kuchambua.
1. Kwanini wasirejeshe pesa za watu kwanza ili watu wenyewe waamue kuja tena kwenye hiyo mechi au la?

2. Kwanini hawakutangaza kwanza tarehe rasmi ya mechi kupigwa kabla ya kuja na hiyo mipango ya kuwalazimisha watu kuingia uwanjani?

3. Ikiwa hawawezi kuwafidia watu gharama zingine walizoziingia au watakazoziingia ili kuja kuhudhuria hiyo mechi, kwanini wawalazimishe kuja uwanjani?
 
Uongozi wa Yanga sidhani kama utakubali Marudio ya hii mechi.
 
Utopolo mtake mistake mtaleta tu timu, msipoleta niite ...... nimekaaa paleee
 
Wewe ulitegemea tofauti na hivyo?
Turudi kuchambua.
1. Kwanini wasirejeshe pesa za watu kwanza ili watu wenyewe waamue kuja tena kwenye hiyo mechi au la?

2. Kwanini hawakutangaza kwanza tarehe rasmi ya mechi kupigwa kabla ya kuja na hiyo mipango ya kuwalazimisha watu kuingia uwanjani?

3. Ikiwa hawawezi kuwafidia watu gharama zingine walizoziingia au watakazoziingia ili kuja kuhudhuria hiyo mechi, kwanini wawalazimishe kuja uwanjani?
1. Kwenye mifumo mingi ya malipo, kurejesha pesa huwa ni mchakato mrefu kuliko kupokea.
2. Hii ni hoja lakini nadhani wameona walitolee tamko hilo mapema ili kutuliza malalamiko ya watu
3. Udhuru unatokea katika michezo. Hakuna sehemu yoyote duniani taasisi inabeba jukumu la usafiri, malazi au chakula cha mashabiki wanaokuja katika mechi. Kwa hiyo udhuru ukitokea, hizo haziwezi kuwa sehemu ya fidia.
 
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.

“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Warudishiwe wenyewe.
Vipi kwa wàtakao kufa
Vipi kwa wàtakao kuwa HAWANA nafasi siku hiyo mpya
Vipi kwa wagonjwa
Vipi kwa Waliobadilisha preference
etc
 
Usikute hii game ilikuwa na maelekezo. Hadi mwenye nchi au msaidizi wake awepo jukwaa la juu
 
Mechi ilikuwa Jana kati ya Yanga na wahuni wa msimbazi, hizo ni taarabu tu, mechi yenu mkacheze wahuni wa msimbazi na wahuni wa karume, tunachohitaji uto ni points zetu 3 tu.

Hivi nani mwenye akili timamu ataenda uwanjani tena maana hadi Jana mchana taarifa za wahuni wa karume zilisena mechi ipo. Ni vigumu kumuanisha mtu uliemvuruga kipumbavu, labda mechi ikachezwe Zenji ambao hawakuathirika sana japo wapo waliokuja Dar!!

Kwanza majina ya hao wajumbe maandazi yanapaswa kujulikana!
 
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.

“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Yanga ipi ? Hatuna game na Simbamsimu huu tena.....
Hatuna game na 5imba msimu 24/25.....
 
Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.

“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Warudishie watu pesa zao waache wizi. Mtu alitika Mwanza, Kigali yaani alipe tena nauli.
 
Wewe ulitegemea tofauti na hivyo?
Turudi kuchambua.
1. Kwanini wasirejeshe pesa za watu kwanza ili watu wenyewe waamue kuja tena kwenye hiyo mechi au la?

2. Kwanini hawakutangaza kwanza tarehe rasmi ya mechi kupigwa kabla ya kuja na hiyo mipango ya kuwalazimisha watu kuingia uwanjani?

3. Ikiwa hawawezi kuwafidia watu gharama zingine walizoziingia au watakazoziingia ili kuja kuhudhuria hiyo mechi, kwanini wawalazimishe kuja uwanjani?
Una hoja, usikilizwee

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ulitegemea tofauti na hivyo?
Turudi kuchambua.
1. Kwanini wasirejeshe pesa za watu kwanza ili watu wenyewe waamue kuja tena kwenye hiyo mechi au la?

2. Kwanini hawakutangaza kwanza tarehe rasmi ya mechi kupigwa kabla ya kuja na hiyo mipango ya kuwalazimisha watu kuingia uwanjani?

3. Ikiwa hawawezi kuwafidia watu gharama zingine walizoziingia au watakazoziingia ili kuja kuhudhuria hiyo mechi, kwanini wawalazimishe kuja uwanjani?
TFF ilitakiwa waombe radhi kuto fanya hivyo kunatafsiri uwezo wao wa kufikiri ukoje
 
Back
Top Bottom