Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Ni kwa anayetaka tu. Asiyetaka si vibaya akaichukulia kama sadaka ya kwaresmaWewe ulitegemea tofauti na hivyo?
Turudi kuchambua.
1. Kwanini wasirejeshe pesa za watu kwanza ili watu wenyewe waamue kuja tena kwenye hiyo mechi au la?
2. Kwanini hawakutangaza kwanza tarehe rasmi ya mechi kupigwa kabla ya kuja na hiyo mipango ya kuwalazimisha watu kuingia uwanjani?
3. Ikiwa hawawezi kuwafidia watu gharama zingine walizoziingia au watakazoziingia ili kuja kuhudhuria hiyo mechi, kwanini wawalazimishe kuja uwanjani?