OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hawana la kufanya, watakubali tu ila kwanza watawajaza upepo mashabiki maandazi kua hawatocheza, mwisho wa siku Ali Kamwe atakuja kuwapoza na uwanjani mtaendaUongozi wa Yanga sidhani kama utakubali Marudio ya hii mechi.
1. Kwenye mifumo mingi ya malipo, kurejesha pesa huwa ni mchakato mrefu kuliko kupokea.Wewe ulitegemea tofauti na hivyo?
Turudi kuchambua.
1. Kwanini wasirejeshe pesa za watu kwanza ili watu wenyewe waamue kuja tena kwenye hiyo mechi au la?
2. Kwanini hawakutangaza kwanza tarehe rasmi ya mechi kupigwa kabla ya kuja na hiyo mipango ya kuwalazimisha watu kuingia uwanjani?
3. Ikiwa hawawezi kuwafidia watu gharama zingine walizoziingia au watakazoziingia ili kuja kuhudhuria hiyo mechi, kwanini wawalazimishe kuja uwanjani?
Warudishiwe wenyewe.Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.
“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Mgeni rasmi akiwa Mama yao au Waziri mkuu, watakataaje?Uongozi wa Yanga sidhani kama utakubali Marudio ya hii mechi.
Yanga ipi ? Hatuna game na Simbamsimu huu tena.....Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.
“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Utacheza utake usitake....Labda marudio ya Makolo na TFF
Tusipocheza unipe kUtacheza utake usitake....
Tena ndo mtahamasisha kwa mahaba makubwa...
Warudishie watu pesa zao waache wizi. Mtu alitika Mwanza, Kigali yaani alipe tena nauli.Ofisa habari wa TPLB, Karim Boimanda amesema kuwa viingilio vya mchezo huo vitatumika katika tarehe ambayo utapangwa kuchezwa tena.
“Tiketi zinarejeshwa kwenye kadi na zitasalia hapo kwa hiyo zitakuja kutumika kwenye mchezo huu namba 184 siku ambayo utachezwa,” amesema Boimanda.
Una hoja, usikilizweeWewe ulitegemea tofauti na hivyo?
Turudi kuchambua.
1. Kwanini wasirejeshe pesa za watu kwanza ili watu wenyewe waamue kuja tena kwenye hiyo mechi au la?
2. Kwanini hawakutangaza kwanza tarehe rasmi ya mechi kupigwa kabla ya kuja na hiyo mipango ya kuwalazimisha watu kuingia uwanjani?
3. Ikiwa hawawezi kuwafidia watu gharama zingine walizoziingia au watakazoziingia ili kuja kuhudhuria hiyo mechi, kwanini wawalazimishe kuja uwanjani?
TFF ilitakiwa waombe radhi kuto fanya hivyo kunatafsiri uwezo wao wa kufikiri ukojeWewe ulitegemea tofauti na hivyo?