Bodi ya Ligi: Tiketi za Simba Vs Yanga zitatumika tarehe itakayopangwa

Ni kwa anayetaka tu. Asiyetaka si vibaya akaichukulia kama sadaka ya kwaresma
 
Nyie utopolo mmeenda kumzika shabiki wenu aliepigwa shoti??
Mtu mmeambiwa mpira hakuna mmejazana maeneo ya uwanja...
So sad...
 
Yanga ipi ? Hatuna game na Simbamsimu huu tena.....
Hatuna game na 5imba msimu 24/25.....
Hakuna Mkate mgumu mbele ya Chai, Mgeni rasmi ni Mamlaka sasa mtatoa wapi jeuri ya Kutoleta timu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…