Fujo Gani?Tulieni si mumeshawashitaki Bodi ya Ligi CAS, subirini matokeo CAS iwape ushindi wa mezani. Fujo muanzishe wenyewe halafu mayowe mupige nyie.
Subirini CAS itawapa point tatu.Fujo Gani?
Hata wasipotupa kuwafunga 5imba mara ya 5 mfululizo ni lazimaSubirini CAS itawapa point tatu.
Sisi tutawangoja uwanjani hizi ngonjera zenu hazitawasaidia kitu, hayo yaliyopita sisi tumeshayasau tunachojua kuna point zetu tatu toka nyuma mwiko.Hata wasipotupa kuwafunga 5imba mara ya 5 mfululizo ni lazima
Mechi itapigwa tutawapanga Yanga under 17 au Yanga princess na watawafunga goli 5 bila wasiwasi
Tukicheza tunawapiga 6 Bora hata Muomba tuchukue goli 3 na points mezaniSisi tutawangoja uwanjani hizi ngonjera zenu hazitawasaidia kitu, hayo yaliyopita sisi tumeshayasau tunachojua kuna point zetu tatu toka nyuma mwiko.
Usikariri, waliowatuma mabaunsa kutuleta vurugu waliona mbali ile mlishajaa kwenye mfumo tutawapiga kama ngoma 😀😛Tukicheza tunawapiga 6 Bora hata Muomba tuchukue goli 3 na points mezani
Simba malalamiko kila kona, mara mkuu wa mkoa ni yanga, mara GSM kadhamini timu nyingi, mara wachezaji wamehongwa, mara tunajenga timu, mara Alajiga. Ni malalamiko fc. Kwani adhabu ya kuzuia timu nyingine isifanye mazoezi haiko? Sasa hivi wanahanyahanya na ooooh usalama ooooo rushwa!!!Tulieni si mumeshawashitaki Bodi ya Ligi CAS, subirini matokeo CAS iwape ushindi wa mezani. Fujo muanzishe wenyewe halafu mayowe mupige nyie.
Sisi tumetulia tuliii, nyie sasa mara muvae vinyago mara muvae vibwaya, rukeni rukeni tu kama popcorn lakini hatimaye mtaleta timu kwa Mkapa tuwanyoe kwa chupaSimba malalamiko kila kona, mara mkuu wa mkoa ni yanga, mara GSM kadhamini timu nyingi, mara wachezaji wamehongwa, mara tunajenga timu, mara Alajiga. Ni malalamiko fc. Kwani adhabu ya kuzuia timu nyingine isifanye mazoezi haiko? Sasa hivi wanahanyahanya na ooooh usalama ooooo rushwa!!!
Bodi ya ligi inasubiri kupewa hali ya majeruhi wa Simba camara na che malone ili wapange trh ya mechi kurudiwa, kwani hatujui?. Simba walikimbiziwa kucheza harakaharaka mechi zake na Fountain gates na Tabora United kabla hizo timu hazijakamilisha usajili wa wachezaji wake muhimu ili wapate matokeo kwennye mzunguuko wa kwanza. Mungu huyu hachezewi wala kudhihakiwa; 5imba watafungwa tena hata wakisogeza mechi wapi. Hakimu wa myonge ni Mungu.Sisi tumetulia tuliii, nyie sasa mara muvae vinyago mara muvae vibwaya, rukeni rukeni tu kama popcorn lakini hatimaye mtaleta timu kwa Mkapa tuwanyoe kwa chupa
Bodi ya ligi wameshindwa kusema tumepigiwa simu na Karia kuahirisha mechi, badala yake wanaweweseka na usalama na rushwa. Kwenye barua yao ya kuahirisha mechi walisema 5imba walienda bila taarifa, mabaunsa wa Yanga waliwazuia 5imba, mageti yalifungwa, hakukuwa na swala la kiusalama wala rushwa.1. Suala la usalama Wahusika ni Polisi. Je Bodi Ya Ligi wanayo barua ya Polisi yenye kuwazuia kuendelea na mchezo huo kwa sababu za kiusalama? Najua wanaweza kughushi hiyo barua wakaipata. Lakini wakumbuke kuwa hiyo barua Simba na Yanga walipaswa kupewa nakala kwa kuwa wao ni wahusika wakuu wa mchezo husika
2. Suala la rushwa Wahusika ni Takukuru. Je Bodi ya Ligi wana barua ya Takukuru kuwaamuru kuahirisha mchezo? Kama hakuna barua kwanini Takukuru hawakuweka mtego na kuwakamata wahusika?
3. Sababu za kuahirisha mechi walizozitoa mwanzoni ni tofauti kabisa na walizozitoa baadae. Umma ushike sababu zipi?
Mnafanya vitu viwe complex tu. CAF waliposema wachezaji wa CS Sfaxien wamefanya vurugu, na mashabiki wa Simba wamefanya vurugu na kuufungia uwanja, wala hawakuhitaji barua ya Polisi. Vurugu zinaripotiwa na kamisaa wa mechi kwa kuangalia matukio. Hizo barua mtapeana wenyewe lakini kamisaa ameweka kuangalia mwenendo wa mechi kabla, katika na baada ya mchezo1. Suala la usalama Wahusika ni Polisi. Je Bodi Ya Ligi wanayo barua ya Polisi yenye kuwazuia kuendelea na mchezo huo kwa sababu za kiusalama? Najua wanaweza kughushi hiyo barua wakaipata. Lakini wakumbuke kuwa hiyo barua Simba na Yanga walipaswa kupewa nakala kwa kuwa wao ni wahusika wakuu wa mchezo husika
2. Suala la rushwa Wahusika ni Takukuru. Je Bodi ya Ligi wana barua ya Takukuru kuwaamuru kuahirisha mchezo? Kama hakuna barua kwanini Takukuru hawakuweka mtego na kuwakamata wahusika?
3. Sababu za kuahirisha mechi walizozitoa mwanzoni ni tofauti kabisa na walizozitoa baadae. Umma ushike sababu zipi?
Hayo yoote ni baada ya mechi kuchezwa na matokeo kujulikana ndio mengine yote yasio ya kimpila yanachunguzwa na hatua za kimpira kuchukuliwa kwa kila anaestahili. Hawa maandazi walikasirika kama 5imba walivyokasirika na walikasirishwa na kile kilichowakasirisha na walisema na kutenda kama vile walivyosema na kutenada 5imba. Walijisahau kuwa wao wanatumia kanuni hata kama wamekasirika au jambo hawalipendi.Mnafanya vitu viwe complex tu. CAF waliposema wachezaji wa CS Sfaxien wamefanya vurugu, na mashabiki wa Simba wamefanya vurugu na kuufungia uwanja, wala hawakuhitaji barua ya Polisi. Vurugu zinaripotiwa na kamisaa wa mechi kwa kuangalia matukio. Hizo barua mtapeana wenyewe lakini kamisaa ameweka kuangalia mwenendo wa mechi kabla, katika na baada ya mchezo
Basi tuache mechi ichezweHayo yoote ni baada ya mechi kuchezwa na matokeo kujulikana