Bodi ya ligi ya NBC PL, na hili nalo mkalitizame

Bodi ya ligi ya NBC PL, na hili nalo mkalitizame

Mkuu nimekusoma vyema. Umeona kitu ambacho sikukiona. Japo ni raundi mbili tofauti kulikua hakuna haja ya Simba SC kucheza mechi 4 ugenini za kufungia msimu ugenini, alafu aje afungue ligi na mechi 3 za ugenini.
Hamna kosa hapo Jombaa. Simba alicheza mechi tatu za kwanza nyumbani mfululizo sawa sawa na Kagera aliyecheza mechi tatu mfululizo ugenini za kwanza pia. Hiyo ni tradeoff tu ndani ya round moja.

Round ya pili Simba atacheza mechi tatu mfululizo mara mbili nyumbani baada ya hizo tatu za mwanzo ugenini. Mapungufu makubwa ndani ya hii ratiba ninayoyaona ni kuruhusu michezo mitatu mfululizo timu moja icheze ugenini au nyumbani.

Pia kosa lingine la kiufundi kwa Simba na Yanga kuna michezo huwa ni kama wanaopanga ratiba huwa hawaihesabu ni kama ugeni kwa mf. michezo dhidi ya Ruvu na KMC.
 
We topolo mi hapa nazungumzia inakuaje timu inacheza ugenini mechi 7 mfululizo na si kila baada ya siku 5? Umemielewa we topolo?
Ratiba ya hizi timu zako Geita na Kagera ni kama ifuatavyo:-

View attachment 2419921
View attachment 2419924

We topolo nioneshe ni lini hizo timu zako zimecheza au zitacheza mechi 7 mfululizo?
Una upunguani au ngada zimakuharibu!! Hizo mechi unazozioesha ni round ya kwanza tu au ya pili tu!!. Huwa mnawaza kweli kabla yakuleta upuuzi na malalamiko yasiyokuwa na maana?, Ratiba unayo afu huwezi fuatilia Mambo.

Ngada fc😅
 
Una upunguani au ngada zimakuharibu!! Hizo mechi unazozioesha ni round ya kwanza tu au ya pili tu!!. Huwa mnawaza kweli kabla yakuleta upuuzi na malalamiko yasiyokuwa na maana?, Ratiba unayo afu huwezi fuatilia Mambo.

Ngada fc😅

We tahira mbona una kichwa kigumu sana kuelewa? Nawaonea huruma walimu wako. Uliniuliza ninafahamu ratiba za geita na kagera, nimekuwekea ratiba.. haya nioneshe ni lini wamecheza mechi 7 mfululizo unaanza kubwabwaja. Inshu si kucheza raundi ya kwanza au ya pili, in lini timu imecheza mechi 7 mfululizo? Halafu hapa sijalalamika, nilikua natoa maoni ni kwa jinsi gani bodi ya ligi wawe makini wanapopanga ratiba yao. We tahira una uelewa mdogo sana. POLE SANA.
 
Hiyo ndiyo nzuri ili kupunguza gharama za kwenda mikoani na kurudi Dar!

Na inawezekana hata viongozi wa Simba wamelikubali.

Navyosikia bodi ya ligi inawawakilishi wa timu zote za ligi kuu! Je, wawakilishi wa simba hawajaliona hilo?

Halafu kibongo bongo kuna advantage sana mzunguko wa kwanza kucheza mechi za ugenini nyingi, halafu mzunguko wa lala salama unamalizia nyumbani!
 
Bodi ya ligi ni takataka mechi zinachezwa j3 j4 na alhamisi utafikiri Monday night na europe

Utoto mtupu bodi ya ligi ni wapuuzi Sana wanazikosesha timu pesa ligi kwanini isichezwe jumamosi na jumapili na ijumaa?
Screenshot_20221111-132214.png
 
Back
Top Bottom