Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,986
- 2,373
Kanuni walishaitaja kwenye taarifa yao ya awali, kanuni ya 34:1(3.1) inawapa mamlaka ya kuahirisha mechiHii taarifa haina mashiko kama hawaja taja kanuni iliyopelekea kuahirisha mechi....
Kwani bodi ya ligi ndio huwa wanashindwa kesi kule CAS kila wanapokwenda? Uongozi wa Yanga uliwaminisha washabiki wao kuwa Kagoma ni mchezaji wao hadi kutembea na mkataba wake,mlifikia wapi na mwanasheria wenu Patrick?Vipi kuhusu Morrison?Bodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Jenga tabia ya kujadili hoja na sio mtoa hojaJemedari ni nani huko TFF/Bodi ya ligi / Simba?
Taarifa ya Simba kususia mechi ilianzia kwa huyu nyang'au?
Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, legend wa soka nchi hii,mtendaji wa zamani wa TFF, meneja wa zamani wa Azam FC,CEO wa JKT Tanzania,mchambuzi wa soka.Sifa hizi zinamfanya kuwa chanzo cha kuaminika cha habari za soka nchi hiiHivyo huyo uliyechukua habari kwake ndo nani huko Bodi ya Ligi?
Mkuu umeelewa nilichokuuliza lakini?Mwandishi wa habari za kiuchunguzi, legend wa soka nchi hii,mtendaji wa zamani wa TFF, meneja wa zamani wa Azam FC,CEO wa JKT Tanzania,mchambuzi wa soka
Nimekuelewa,shaka yako ni nini?kwa hiyo huamini taarifa kutoka chanzo chochote bali lazima mtoa taarifa awe ni mfanyakazi/member wa bodi ya ligi?Mkuu umeelewa nilichokuuliza lakini?
Umeongea kinyonge kama mbwa jike aliyeingiaza mkia huko nia....je baada ya kuona madume..Bodi ya Ligi na TFF yote kumejaa watu wajinga tu. Na huu ndiyo ukweli mchungu. Wallace Karia tangu hapo anafahamika fika ni kwa namna ni mtu wa hovyo.
Nawashauri Yanga wasiingie kwenye mtego wa hao vilaza. Wapeleke timu kwenye hiyo siku watakayo itangaza, halafu tuone kama ile timu yao wanayoibeba kwa kila aina ya mbinu chafu; itashinda huo mchezo.
Mtu anaandika sio sababu ya Simba kugomea.Kumekuwa na madai ya mashabiki wa Yanga humu jukwaani kuwataka bodi wawajibu barua yao ya kugomea mechi itakayopangwa na bodi, hatimaye bodi wamevunja ukimwa kwa kuwaambia Yanga kuwa hakuna points 3 za bure,na kuwa wamevunja kanuni kwa kukaidi agizo la bodi la kuahirisha mechi kwa kupeleka timu uwanjani ambako kwa mujibu wa kanuni 47:18 adhabu yake wanaweza kushushwa daraja.
Na pia wamejibiwa kuwa hakuna sehemu kwenye kanuni inayoitaka timu mgeni kuwasiliana na wadau ili kutimiza takwa la kikanuni la wao kufanya mazoezi.
Ngoja tuone hili tishio la kutunishiana misuli na mamlaka za soka litaishia wapi.
Mbumbumbu hamnaga akili sasa huyo binti Kazumari ndio body ya ligi?Nyie mnaotaka point 3 ndo mna uzuzu...yani ufike uwanjani ww na genge lako ulazimishe upewe point 3...hata akili ya kuvukia tuu barabra haiko hivyo..mpira umehairishwa toka saa8...
Msingi ni Yanga kupeleka mabaunsa wakafanye vurugu na kuhatarisha usalama wa wachezaji na viongozi wa Simba,kama Yanga wasingepeleka kikundi chao cha vurugu hayo yote yasingetokea maana bodi kwa mujibu wa taarifa yao wameeleza wazi wametumia taarifa ya Afisa Usalama wa mechi,je wewe umeiona hiyo taarifa ya Afisa Usalama wa mechi?Mtu anaandika sio sababu ya Simba kugomea.
Unajiuliza maswali, kwahiyo Simba wasingegomea wao wangeaihirisha mechi kutokana na sababu ipi?
2) Walikutana kujadiliana ni nini kama sio barua ya Simba ya kugomea mechi?
Msingi wa kuahirisha mechi ni kugoma kwa Simba kucheza mechi wala wasipindishe kauli.
Ndio miongoni mwa vyanzo vya kuaminiwa vya habari za soka nchi hii ndio maana baada ya taarifa yake tu kurasa nyingi zimeanza kucopy taarifa yakeMbumbumbu hamnaga akili sasa huyo binti Kazumari ndio body ya ligi?