Bodi ya Ligi: Yanga wametangaza uwanja wa KMC kabla ya approval, wanaweza kukataliwa

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

View: https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI
Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.

Amesema Utopolo wanaweza kukataliwa na kurejeshwa Azam Complex na bodi ya ligi.
 
Kilichowafanya watangaze hata barua hawajajibiwa ni nini? Timu inaongozwa na wahuni hii, kama mliamua kumpora mzee Magoma timu yake basi at least iendesheni kwa weledi
Jina ulilowaita huenda likakufaa wewe zaidi.
 
Hii timu kuanzia Rais wao hadi mfagizi wa ofisi ni mapunguan,i waheed kabisa.

Yaani weledi hakuna ni kukurupuka tu ndiko wanakujua. Hawapendi kufuata utaratibu sasa kabla hawajajibiwa tayari wao wametangaza rasmi kuhamia KMC complex.
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI
Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.

Amesema Utopolo wanaweza kukataliwa na kurejeshwa Azam Complex na bodi ya ligi.

Simba na Yanga hazihitaji kanuni. Kwani msimu uliopita ulihama viwanja mara ngapi?
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI
Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.

Amesema Utopolo wanaweza kukataliwa na kurejeshwa Azam Complex na bodi ya ligi.

Wanawapeni sababu za kimtandaoni wakati upande mwingine wanafanya mambo kwa kufuata taratibi zote zinazotakiwa.
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjI
Msikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.

Amesema Utopolo wanaweza kukataliwa na kurejeshwa Azam Complex na bodi ya ligi.

Bodi hawana haki ya kukataa labda kiwanja kiwe hakikidhi vigezo.Wanakataaje kwa mfano? Wao hawamiliki viwanja kusema labda lazima ucheze kwenye viwanja vya bodi ya ligi.Kila timu imepewa jukumu la kutafuta kiwanja chake cha nyumbani, sasa itakuwaje waipangie timu wakati wao wenyewe hawana uwezo wa kuwapa kiwanja wanachokimiliki.
Yanga wamefanya uamuzi sahihi japo wamechelewa.Hawakupaswa kutumia uwanja wa mshindani wao wa karibu kama uwanja wa nyumbani.Mimi siamini kama management ya AZAM imeshiriki kwa aina yeyote kuwahujumu,ila kuna baadhi ya wafanyakazi wao wametumika na mkubwa mwenzao kufanya vitimbwi vingi kuwaharibia Yanga.Azam management wako very proffessional na hili linawafanya waamini ushindi unapatikana kwenye kuwekeza kwa best players,coaching team na proper training.Ukiiangalia AZAM ni timu yenye structure nzuri pengine kuliko timu zote za Premier League.Wao wanakosa FUN BASE tu.Hii pia wanaweza kuitengeneza kwa kuanzia chini kabisa.Wanaweza kujifunza kwa TIGO walifanya nini kwenye miaka ya 2006 kuendelea mpaka wakawa ni wenye watumiaji wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom