OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jina ulilowaita huenda likakufaa wewe zaidi.Kilichowafanya watangaze hata barua hawajajibiwa ni nini? Timu inaongozwa na wahuni hii, kama mliamua kumpora mzee Magoma timu yake basi at least iendesheni kwa weledi
Simba na Yanga hazihitaji kanuni. Kwani msimu uliopita ulihama viwanja mara ngapi?
View: https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjIMsikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.
Amesema Utopolo wanaweza kukataliwa na kurejeshwa Azam Complex na bodi ya ligi.
Wanawapeni sababu za kimtandaoni wakati upande mwingine wanafanya mambo kwa kufuata taratibi zote zinazotakiwa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=k5QFX2fgpjIMsikilize Boimanda ambaye ni Afisa Habari wa Bodi ya Ligi. Watapewa majibu kwa mujibu wa kanuni ya 9. Kanuni imeeleza sababu za msingi za kuhama uwanja, lazima kuwe na sababu nzito. Sababu zilizotolewa na Uto ni kufungwa na Azam na Nyuki.
Amesema Utopolo wanaweza kukataliwa na kurejeshwa Azam Complex na bodi ya ligi.
Bodi hawana haki ya kukataa labda kiwanja kiwe hakikidhi vigezo.Wanakataaje kwa mfano? Wao hawamiliki viwanja kusema labda lazima ucheze kwenye viwanja vya bodi ya ligi.Kila timu imepewa jukumu la kutafuta kiwanja chake cha nyumbani, sasa itakuwaje waipangie timu wakati wao wenyewe hawana uwezo wa kuwapa kiwanja wanachokimiliki.