Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 655
- 1,069
Wakuu habar ya kaz wote
Bodi ya mikopo inafanya wizi wa waz kabisa.Mtu kamaliza mkopo toka mwaka 2017 eti mnaanza kumkata tena 2024 kwa kisingizio kuwa et kuna adminstration fees sijui na vitu gan havikulipwa,sasa unasubir miaka imepita mingi ndo unakuja unaleta hizo fees na kwann usingeziweka moja kwa moja kwenye mkopo kama ilivo kwa sasa.
Bodi ya mikopo imeamua kuwaibia watumishi wazwaz mchana kweupe na kila mtumishi anapotaka kupiga hatua fulan bas anavutwa na serikali yenyewe.Tunaomba serikali iingilie kati hili sakata la sivyo watumishi wa nchi hii wataendelea kuish maisha magum sn na watu wachache ndio wanaofanya michezo hio.
Wameshindwa kupambana na watu wapya mtaaani ili waongeze mapato matokeo yake wanaanza tengeneza makato mapya kwa watumishi wazamani ambao tayar washamaliza maden yao.
Haiingii akilini eti baada ya kupita miaka saba unakuja sema mtu anadaiwa na kuanza kumkata kama sio utapeli ni nini.
Mh rais tunaomba uingilie kati mana huu sasa ni zaid ya uonezi mkubwa na serikali inaendelea chafuliwa na watu wachache ambao wanakaa na kuanza tengeneza makato ambayo hayana kichwa wala miguu.
Watanzania wanaumizwa sn tena sn na watendaji wabovu ambao hawajui impact yoyote mana wao wanaangalia hela huku serikali ikiendelea kuchafuliwa.
Tunaomba wazir mwenye dhamana aliangalie hili na alishughulikie haraka sn mana sio vema tukaanza pelekana mahakaman na serikali ambayo tunaamini ni sikivu na inaweza tatua changamoto hio.
Naomba kuwasilisha