Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

yaan nianze kuwachima wanufaika ilihaki Kuna watu wanatafuna tu pesa za serikali wanatajwa kwenye report Kila mwaka hawafungwi!!!!???
 
Mimi nilikula mishahara miwili tu mizuri baada ya hapo bodi wakafanya yao da inaumiza ila tamaliza tu uzuri siku hazigandi.

Ila kuna mshikaji wangu tumeajiriwa mkoa mmojq wilaya tofauti.Bado hajaanza kukatwa sijui nimsanue aise.
Acha hiyo roho mkuu..
 
Wanaongea kama mende zilizokunywa sumu
Wadaiwa wengi hawna ajira zinazoeleweka na vipato vyao ni duni sana sasa sijui wtapewa nini hao bodi ya mikopo
Yaan hata nimuone mtu anafanya kazi na anadaiwa siwez kumchomesha aise maana najua hata huo mshahara wenyewe sidhan kama unatosha kukidh mahitaji...yan nimchomeshe mtu aliesomeshwa kwa kodi za wananchi na wakat kuna wezi wa serikalin kibao
 
Back
Top Bottom