Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu (HESLB) yaja na 'Kampeni ya Fichua' kuwasaka wadaiwa sugu

Wakuu habar ya kaz wote

Bodi ya mikopo inafanya wizi wa waz kabisa.Mtu kamaliza mkopo toka mwaka 2017 eti mnaanza kumkata tena 2024 kwa kisingizio kuwa et kuna adminstration fees sijui na vitu gan havikulipwa,sasa unasubir miaka imepita mingi ndo unakuja unaleta hizo fees na kwann usingeziweka moja kwa moja kwenye mkopo kama ilivo kwa sasa.

Bodi ya mikopo imeamua kuwaibia watumishi wazwaz mchana kweupe na kila mtumishi anapotaka kupiga hatua fulan bas anavutwa na serikali yenyewe.Tunaomba serikali iingilie kati hili sakata la sivyo watumishi wa nchi hii wataendelea kuish maisha magum sn na watu wachache ndio wanaofanya michezo hio.

Wameshindwa kupambana na watu wapya mtaaani ili waongeze mapato matokeo yake wanaanza tengeneza makato mapya kwa watumishi wazamani ambao tayar washamaliza maden yao.

Haiingii akilini eti baada ya kupita miaka saba unakuja sema mtu anadaiwa na kuanza kumkata kama sio utapeli ni nini.

Mh rais tunaomba uingilie kati mana huu sasa ni zaid ya uonezi mkubwa na serikali inaendelea chafuliwa na watu wachache ambao wanakaa na kuanza tengeneza makato ambayo hayana kichwa wala miguu.

Watanzania wanaumizwa sn tena sn na watendaji wabovu ambao hawajui impact yoyote mana wao wanaangalia hela huku serikali ikiendelea kuchafuliwa.

Tunaomba wazir mwenye dhamana aliangalie hili na alishughulikie haraka sn mana sio vema tukaanza pelekana mahakaman na serikali ambayo tunaamini ni sikivu na inaweza tatua changamoto hio.

Naomba kuwasilisha
 
Mna honga kupata mikopo 100% haliakua mnajua hao watu wako disorganised, wakati wengine mlikua na uwezo wakulipia hizo pesa za ada..... tulieni msikilizia system ambao ni corrupt inavo umiza.
 
Kuna mtu aliwahi kuniambia jambo hili kumbe lipo kweli? Serikali yetu chini ya SSH italifanyia kazi
 
Kama ulikuwa umepewa mkopo ukalipa wote then system imekurudia siyo poa kabisa but wapo waliyokopa muda mrefu uliyopita na hawakuingizwa kwenye mfumo wa marejesho, wanapaswa kulipa.
 
Hawa ni maumbwa sana! Mimi wamenipiga laki sita! Maninina!
 
Eti serikali sikivu, kwa akili hizo acha wakukate tu!
 
Kwani administration fee inalipwa na loan body. Huo ni pure uonevu,. Kawashtaki mahakamani
 
Tuwe tunaangalia account zetu za benki umemaliza zako la saba unaambiwa ulimaliza chuo mkopo ukapewa asilimia 500
 
Hao hawana lolote Nilikuwa kwenye kampuni moja ivi 2022 wananikata kwenye salary Deni la HESLB lakini hawapeleki huku naona mbona deni halipungui...nikaenda pale Bodi kuwashtaki watu wa Bodi wakasema niandike Barua nikaandika ila hamna walichofanya...ila Nasikia walikuja pale Ofisini wakapewa Mlungula wakatulia.
 
Sasa kama hizo kampuni wana submit paye na NSSF ambapo wanaambatanisha majina ya wafanyakazi wao, kwanini wasiende huko? Au wanataka zile kampuni ambazo hazijasajiriwa za kijanjajanja
 
kwenye ile fomu ya mkopo hatukuwa na kipengele ya kwamba ukimaliza chuo nitakuajiri, sharti ni kwamba baada ya kumaliza tu chuo ndani ya miezi 24 unaanza kufanya mrejesho
Na wawatafute sasa wenyewe sio kusumbua watu, kisa nini kuomba watu wawataje.
Au na hilo nalo kwenye fomu ya mkopo lilikuwepo?
 
hivi kati ya mimi na wewe nani hana akili? wewe chuo ulienda kutafuta cheti au maarifa?
Maarifa ya uchanganuzi wa sentesi kwa njia ya matawi!, haya nielekezee wapi niyaaply!. We zombie...😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…