J jimmi2024 Senior Member Joined Mar 3, 2024 Posts 154 Reaction score 161 Jul 6, 2024 #241 yaan nianze kuwachima wanufaika ilihaki Kuna watu wanatafuna tu pesa za serikali wanatajwa kwenye report Kila mwaka hawafungwi!!!!???
yaan nianze kuwachima wanufaika ilihaki Kuna watu wanatafuna tu pesa za serikali wanatajwa kwenye report Kila mwaka hawafungwi!!!!???
THE HARD WORKER JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 231 Reaction score 338 Jul 8, 2024 #242 shuka chini said: Mimi nilikula mishahara miwili tu mizuri baada ya hapo bodi wakafanya yao da inaumiza ila tamaliza tu uzuri siku hazigandi. Ila kuna mshikaji wangu tumeajiriwa mkoa mmojq wilaya tofauti.Bado hajaanza kukatwa sijui nimsanue aise. Click to expand... Acha hiyo roho mkuu..
shuka chini said: Mimi nilikula mishahara miwili tu mizuri baada ya hapo bodi wakafanya yao da inaumiza ila tamaliza tu uzuri siku hazigandi. Ila kuna mshikaji wangu tumeajiriwa mkoa mmojq wilaya tofauti.Bado hajaanza kukatwa sijui nimsanue aise. Click to expand... Acha hiyo roho mkuu..
THE HARD WORKER JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 231 Reaction score 338 Jul 8, 2024 #243 mjerumaniwapahi said: Wanaongea kama mende zilizokunywa sumu Wadaiwa wengi hawna ajira zinazoeleweka na vipato vyao ni duni sana sasa sijui wtapewa nini hao bodi ya mikopo Click to expand... Yaan hata nimuone mtu anafanya kazi na anadaiwa siwez kumchomesha aise maana najua hata huo mshahara wenyewe sidhan kama unatosha kukidh mahitaji...yan nimchomeshe mtu aliesomeshwa kwa kodi za wananchi na wakat kuna wezi wa serikalin kibao
mjerumaniwapahi said: Wanaongea kama mende zilizokunywa sumu Wadaiwa wengi hawna ajira zinazoeleweka na vipato vyao ni duni sana sasa sijui wtapewa nini hao bodi ya mikopo Click to expand... Yaan hata nimuone mtu anafanya kazi na anadaiwa siwez kumchomesha aise maana najua hata huo mshahara wenyewe sidhan kama unatosha kukidh mahitaji...yan nimchomeshe mtu aliesomeshwa kwa kodi za wananchi na wakat kuna wezi wa serikalin kibao