Bodi ya mikopo - elimu ya juu

Bodi ya mikopo - elimu ya juu

MWANKEMWA

Member
Joined
Apr 12, 2013
Posts
63
Reaction score
7
Wapendwa,nani ana taarifa yoyote sahii kutoka bodi.Kimya mno bajameni.
 
ww kama facult yako sio kipaombele bora ujichange mimi kama nikikosa kabisa napata % 50
 
mkopo ni baada ya tar 16 mpaka wanaobadilisha coz kwa tcu wamalize so mtasubiri xana wadogo zangu source the great nya2!
 
niliongea na mshikaji m1 wa bodi anasema mchakato bado ingawa kila kitu kipo standby! tcu, vyuo ndo vinasubiriwa tu ila ni lazima iwe ndani ya this two week!
 
subira yavuta heri, Mungu utusaidie sisi tusiokuwa na uwezo wa kulipia ada na kusoma tunapenda
 
Back
Top Bottom