Tetesi: Bodi ya mikopo (HESLB) kuingia mtaani kusaka wanufaika wasiolipa deni lao

Tetesi: Bodi ya mikopo (HESLB) kuingia mtaani kusaka wanufaika wasiolipa deni lao

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
652
Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao.

Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
 
Kuna Taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao,Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
Kwani Yale masharti wakati unayasoma,Kuna sehemu waliandika utalipa baada ya kuajiriwa serikalini?
 
IMG_1793.jpg
 
Kuna siku tulikaa kijiwe tukawa tunapiga hesabu kiasi ambacho bodi inadai kwenye hicho kijiwe tu ikawa kama milioni 60+ ambayo haiwezi kulipwa kirahisi labda wawe wanakata kwenye mikeka wanayoshinda na ni kitu kigumu mno.
 
Back
Top Bottom