Tetesi: Bodi ya mikopo (HESLB) kuingia mtaani kusaka wanufaika wasiolipa deni lao

Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao.

Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
Pesa yeyote ya serkali hailiwi kirahisi, ni suala la muda wataanza kufuatili.
 
Kwa taarifa hii inaonyesha data za wadaiwa hawana za kutosha.
 
DP world inaanza kutema matrilioni wao wanaanza kutafuta wadaiwa wa madafu? Watoe ajira wajilipe. Manajiajiri pekeyenu na watoto wenu halafu tusio na ajira mtutafute tuwalipe nini sasa damu au jasho?
 
Jamani hata benki zina mikopo chechefu lakini! Na ikifika wakati mrefu wanafanyaje huwa?! 😄
 
Kuna jamaa anaitwa mbilinyi anauza viwanja kibaha hapo,anadaiwa wamfate
Ni tapeli la kutosha,waende wakachukue Chao,alisomeshwa na bodi mshamba yule halafu hataki kulipa miaka zaidi ya kumi Sasa,ana kampuni inaitwa land general
Mnatajana 😂😂
 
Binafsi nadhani bodi isitishe mikopo au itoe mikopo kwa watu kuweka rehani vitu
 
Mtu aje kunisumbua huku umasaini aiseee ntamtembezea kifiro hataamini 😏😏😏12M natoa wapi mm mtoto wa mfugaji
 
Kabet upate 12M, kwani ulifikiri unapewa bure bila kurudisha? Utashangaa wewe ndio unatembezewa kificho mpaka utashangaa, uza mang'ombe hayo urudishe Pesa
 
Kuna jamaa anaitwa mbilinyi anauza viwanja kibaha hapo,anadaiwa wamfate
Ni tapeli la kutosha,waende wakachukue Chao,alisomeshwa na bodi mshamba yule halafu hataki kulipa miaka zaidi ya kumi Sasa,ana kampuni inaitwa land general
Duh

Ova
 
Kabet upate 12M, kwani ulifikiri unapewa bure bila kurudisha? Utashangaa wewe ndio unatembezewa kificho mpaka utashangaa, uza mang'ombe hayo urudishe Pesa
Silipi😏😏na hamna kitu utafanya, huenda ikawa hata mlikuwa hamuweki maana hata sijawahi iona
 
Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.

Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao.

Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?

Wanatafuta kulipana perdiems tu hawana lolote la maana hii nchi imejaa wahuni wengi
 
Huyo Uingiaji Mitaani utai-cost Bodi Kiasi gani ?

Isijekuwa Kesi ya Kuku wanauza Mbuzi....
 
Back
Top Bottom