Kwani Yale masharti wakati unayasoma,Kuna sehemu waliandika utalipa baada ya kuajiriwa serikalini?Kuna Taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao,Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
π π π π π π π
Buza sio ,ngoja waje maana Buza ni ndogo sanaπ πKwanza ni Chai .
Pili hata ikiwa kweli hawatonipata.