DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kuna siku tulikaa kijiwe tukawa tunapiga hesabu kiasi ambacho bodi inadai kwenye hicho kijiwe tu ikawa kama milioni 60+ ambayo haiwezi kulipwa kirahisi labda wawe wanakata kwenye mikeka wanayoshinda na ni kitu kigumu mno.
ππππππShida wakati anasoma ana sura nyingine, baada ya kuingia mtaani sura nyingine kabisa.
Wasubirie tukila jackpot tutawalipaKuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao.
Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Waende vibanda vya kubeti watawakamata wengi ..
Ndio ukweli huo kwa hio kaeni kwa mkao wa Sensa, ukisikia mlango umegongwa jua HESLB wamefuata chao ni operation door to door,taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani
πππ Hata Mimi nikiwemoWaende vibanda vya kubeti watawakamata wengi ..
πππKuna siku tulikaa kijiwe tukawa tunapiga hesabu kiasi ambacho bodi inadai kwenye hicho kijiwe tu ikawa kama milioni 60+ ambayo haiwezi kulipwa kirahisi labda wawe wanakata kwenye mikeka wanayoshinda na ni kitu kigumu mno.
Mi nilimuachia kazi MAGU Kwa ishu izo izo,...unakuta kimshahara hicho hicho kikatwe bodi,Pension TRA,NHIF,Chama cha wafanyakazi,WCF,.etc.,..nikaona cha kufia nini?Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao.
Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
Hivi mtu akitaka afahamu kiwango anachodaiwa anaangaliaje ??Kuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao.
Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
Aende tu akauze shamba alipe bodi hakuna namna,Hivi mtu akitaka afahamu kiwango anachodaiwa anaangaliaje ??
Nakusudia mtu amemaliza chuo miaka kadhaa ishapita na hajawahi kulipa hata 100 mbovu
Hapo umenena mkuu, waweke hata asilimia kwa miamala ya pesa, au bidhaa Fulani inayogusa kila mwananchi ili watu wasome bure. Inakuwaje serikali ifanye biashara za mikopo yenye riba!Nchi kusomesha watu wake ni wajibu, ni uwekezaji wenye tija kuzalisha vijana walioelimika vyema kukabiliana na changamoto za nyakati ili kuiletea nchi maendeleo ya haraka...serikali waanzishe mfuko wa elimu ya juu ambao watu wote wakiwemo wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashara watachangia kupitia tozo badala ya kuwadai hawa vijana pesa nyingi kwa mkupuo huku wengi wao ndo wameanza ajira au bado wanahangaika huku na kule.
Utaratibu nadhani unaenda ofisini ya Kanda uliyopo, unatoa details zako then wanakuangalizia.Hivi mtu akitaka afahamu kiwango anachodaiwa anaangaliaje ??
Nakusudia mtu amemaliza chuo miaka kadhaa ishapita na hajawahi kulipa hata 100 mbovu
waje wachukue hewa majumbani mwetu kwani wengine sasa tunaingia mwaka wa saba bila ajiraKuna taarifa za kwamba BODI ya MIKOPO inaanza kuingia mtaani.
Bodi ya Mikopo Elimu ya Juu inataka kushirikiana na serikali za mitaa kuwatafuta watu wasio na ajira rasmi na walikuwa wanufaida wa mikopo ili iwadai pesa zao.
Mtu amemaliza Chuo kikuu hela ya vocha tu inamshinda ataweza kulipa deni la Mkopo?
Wewe si upo kwenye dini ya haki ya mnyazimungu?Kwanza ni Chai .
Pili hata ikiwa kweli hawatonipata.