Haina uhusiano na mwaka wa serikali, tamko la Rais lilotakiwa kuanza tutekelezwa tangu pale alipotamkaMwaka wa serikali unaanza tarehe 1 mwezi wa saba. For now, nothing can happen.
Kwani July imeshafika mkuu?Mei mosi Mheshimiwa Raisi alisema kwamba wanaondoa retension fee kwenye mikopo ya vyuo vikuu.. Kwa akili yangu ndogo nilitegemea bodi ya mikopo ingetoa mwongozo wa kipi kinafuata kam taasisi zingine zinavyofanya pale wanapopewa muongozo na viongozi wao..
Kinyume naoma mwezi wa pili huu unaenda watu wapo kimya..hiki ni kiburi au ni nini?
Mm nilikopeshwa milioni 10 now nadaiwa milioni 19 die to hio retention fee..Hv nyie mnaolalamika retention fee sijui mikopo huwa mnakatwa pesa ngapi, Na pesa hyo isiyoisha miaka yote ni pesa ngapi.. Kwanza nyie mliosoma zamani mnaweza kudaiwa zaid ya milioni 10..?
Shida iko kwa vijana wa sasa bhana, vyuo vina ada kubwa na boom liko juu.. Yaan ile MTU anamaliza tu chuo M20+ anadaiwa.. Bado hzo 15% zao plus ugumu wa ajira kama huu.. Acheni kelele na kulialia lipeni pesa za watu umma hizo.
Wajinga na Wazembe sana hao. Mimi wananikata pesa mara mbili nilishawatumia email message huu mwezi wa tano (5) hawajajibu chochoteMei mosi Mheshimiwa Raisi alisema kwamba wanaondoa retension fee kwenye mikopo ya vyuo vikuu.. Kwa akili yangu ndogo nilitegemea bodi ya mikopo ingetoa mwongozo wa kipi kinafuata kam taasisi zingine zinavyofanya pale wanapopewa muongozo na viongozi wao..
Kinyume naoma mwezi wa pili huu unaenda watu wapo kimya..hiki ni kiburi au ni nini?
Agizo la Rais lilisema hivyo kwamba waanze kubadilisha mwezi Julai?Mwaka wa serikali unaanza tarehe 1 mwezi wa saba. For now, nothing can happen.
Tamko la Rais lilisema hili suala ni mpaka Julai? au ni Immediate case?Walisema pia kwamba, wataweka mfumo ambapo mdaiwa anaweza kulitazama deni lake kupitia simu ya mkononi, lakini mpaka leo kimyaaaa!
Pia, ile sheria ya retention fees ilitungwa na bunge mwaka 2013, je, rais anaweza kuibadilisha sheria bila kupitia bungeni tena?
Wengine wanasema tamko la rais ni sheria! je, ni kweli? kama ni kweli, hao bodi waharakishe mchakato wa kuondoa retention fee na kumpa mdaiwa deni lake halisi.
Tutakuwa nao tena July, waache wajisahaulishe tu! July ni karibu sana.
Katika mazingira hayo kuna uwezekano makato mengine yananeemesha familia zao. Ila we subiri tu. Kuna mtu alitegemea juzi PM atarara mbele na wale wababe wa Kujilipa maposho?Iko siku hata bodi watakuja kuzitapika tuWajinga na Wazembe sana hao. Mimi wananikata pesa mara mbili nilishawatumia email message huu mwezi wa tano (5) hawajajibu chochote
Halafu kuna miezi wamenikata pesa ila kwenye loan statement haioneshi kuwa wamenikata, hivyo wameiba pesa ya miezi mitatu.
Wezi wakubwa hawa HESLB.
Kama hawajibu message za watumishi wala za kutoka Zone Office wana kazi gani sasa, si watumbuliwe tu?