Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Yaani Mimi wameiba pesa ya miezi mitatu ambayo kwny statement haionekani na nilienda kwny zone office kanda ya kaskazini wakawasiliana na makao makuu hakuna walichofanyaKatika mazingira hayo kuna uwezekano makato mengine yananeemesha familia zao. Ila we subiri tu. Kuna mtu alitegemea juzi PM atarara mbele na wale wababe wa Kujilipa maposho?Iko siku hata bodi watakuja kuzitapika tu
Pia nilikuta malalamiko kama hayo kwa watumishi wengi tu. Nataka niende makao makuu ikiwezekana nichukue hatua ya ziada kwasababu huu ni wizi