Yaani Mimi wameiba pesa ya miezi mitatu ambayo kwny statement haionekani na nilienda kwny zone office kanda ya kaskazini wakawasiliana na makao makuu hakuna walichofanyaKatika mazingira hayo kuna uwezekano makato mengine yananeemesha familia zao. Ila we subiri tu. Kuna mtu alitegemea juzi PM atarara mbele na wale wababe wa Kujilipa maposho?Iko siku hata bodi watakuja kuzitapika tu
Mm nilikopeshwa milioni 10 now nadaiwa milioni 19 die to hio retention fee..
Heeeeh, mkuu kwahyo iko Mara 2 yake sasa..?Mm nilikopeshwa milioni 10 now nadaiwa milioni 19 die to hio retention fee..
Mm wakasema hawajapewa mungozoYaani na kuna mdau alienda kuomba statement ya deni wakasema hawatoi.
Kuna siku nilisema, agizo la rais liwe katika maandishi. Sasa mama President nae sijui alikuwa anawafurahisha tu siku ya mei mosi?Mm wakasema hawajapewa mungozo
Hivi Rais Hayati Magufuli alipotamka kusitisha kikokotoo kwa muda sheria ilirudi Bungeni au walianza kutekeleza kwa kufuata tamko?Kuna siku nilisema, agizo la rais liwe katika maandishi. Sasa mama President nae sijui alikuwa anawafurahisha tu siku ya mei mosi?
Kwa sababu retention fee ilitungwa na bunge mwaka 2013, je inaweza kutenguliwa na rais au ni lazima sheria irudishwe bungeni kubadilishwa?
Unajua Tanzania mambo yanaenda shagharabaghara tu!
Lazima HESLB wazingue tu mana sheria inawaruhusu kukata retention fee!