Bodi ya Mikopo "HESLB" mwaka huu sijauelewa utaratibu wenu

Bodi ya Mikopo "HESLB" mwaka huu sijauelewa utaratibu wenu

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa.

Baada ya dirisha kufungwa, heslb wanaanza kuchekecha majina ya waombaji wa mikopo ndani ya siku kadhaa na mwsho wa siku kutoa majina ya applicants ambao wamekosea ktk hatua au nyararaka wakati wa kutuma maombi, kisha kufungua dirisha tena na kuwaamuru wafanya masahihisho.
Hivyo basi mwaka huu sioni huu utarabu..!!, ina maana wataokosea kujaza form mwaka huu hawatapata hyo chance..? Na inajulikana kuwa wakati huo ambao heslb wanafungua dirisha kwa ajiri ya marekebisho basis inakuwa chance na kwa wale watu waliochelewa kuomba kuomba kabisa labda kwa sababu ya kusubiri Transcript kutoka chuoni( kwa Diploma holders).
Sasa mwaka huu sioni huu utaratibu na ukicheck wiki ijayo diploma wengi wataanza kupata matokeo yao ya semesta.

Heslb mnasaidiaje hapa watu..
 
Hio ya kurudisha majina ya waliokosea wafanye marekebisho bado mdaa watatoa tu kuhusu nyie diploma hapo kwakweli cjui
 
Mbona muda bado sana Mkuu maana ndio kwanza rotation ya pili ya ku apply.
 
Kimbizana na muda,maliza maswala ya mkopo...!Naona tar.15 inajongea,kwa vyuo kuanza ku upland matokeo kwenye system za nacte.Baada ya tar hiyo ni kuanza kukimbizana na vyuo kuhakikisha hawafanyi mchezo wao.I hope nacte wata verify matokeo kwa wakati ili tuwahi dirisha la pili la udahili....!Kila lakheli.
Kama vyuo vikiwa fasta sana hata dirisha la mwishoni tunaliwahi
 
Mi ndo nimetuma cheti cha kuzaliwa jana kiwe verified RITA hapa nawaza wakichelewa je sijui itakuwaje
 
Back
Top Bottom