Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Binafsi tumezoea kuona miaka yote bodi ya mikopo inafungua dirisha kwa Mara ya kwanza na wanafunzi wanatuma maombi then baada ya kufika deadline dirisha linafungwa.
Baada ya dirisha kufungwa, heslb wanaanza kuchekecha majina ya waombaji wa mikopo ndani ya siku kadhaa na mwsho wa siku kutoa majina ya applicants ambao wamekosea ktk hatua au nyararaka wakati wa kutuma maombi, kisha kufungua dirisha tena na kuwaamuru wafanya masahihisho.
Hivyo basi mwaka huu sioni huu utarabu..!!, ina maana wataokosea kujaza form mwaka huu hawatapata hyo chance..? Na inajulikana kuwa wakati huo ambao heslb wanafungua dirisha kwa ajiri ya marekebisho basis inakuwa chance na kwa wale watu waliochelewa kuomba kuomba kabisa labda kwa sababu ya kusubiri Transcript kutoka chuoni( kwa Diploma holders).
Sasa mwaka huu sioni huu utaratibu na ukicheck wiki ijayo diploma wengi wataanza kupata matokeo yao ya semesta.
Heslb mnasaidiaje hapa watu..