Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Lipa mkopo ndugu, usitake wakosesha wenzio fursa ya kusomaWewe unalipa au kwakuwa hulipi ndo maana umekua bingwa wa kubwabwaja humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipa mkopo ndugu, usitake wakosesha wenzio fursa ya kusomaWewe unalipa au kwakuwa hulipi ndo maana umekua bingwa wa kubwabwaja humu.
Unae jitambua ulisaini wewe pamoja na wazazi wako... Lakini kwakuwa mlijitambua zaidi hamkuelewa mlichokuwa mna kisaini na kukiomba kina tabu gani mbele...Hajitambui huyo
MkuuNdugu yangu usiongee kama hujui hari za watanzania wa chini tambua maisha ya mtanzania wa kawaida anakuwa hana option nyingine ya kufanya inampasa kukubaliana na lolote kulingana na masharti ya kwenye mkopo kwa maana asipo fanya ivyo hawezi kusoma kamwe ukiangalia maisha yenyewe ya kuunga unga so siku nyingine uwe na akiba ya maneno au nyie ndio ukoo wa kina waziri fulani amjui shida mshazoea maisha ya kimalkia
Mkuu.. hivi retention fee inapigwa kwenye original amount au remaining balance!??Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.
[emoji1241]Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000
[emoji1241] Mwisho wa mwaka atapigwa value retention fee ya 6%=10,000,000*6%*5=3,000,000
Jumla yadeni =18,000,000
[emoji3591]Kwa mwezi atakatwa 500,000* 15%=75,000
[emoji3591] Kwa mwaka atalipa Jumla 75,000* 12=900,000
[emoji3591]Huyu mwisho wa mwaka ataongezewa tena6% ya value retention fee=10,000,000*6%=600,000
[emoji3591]This means kwa mwaka atakua amepunguza (18,000,000 - 900,000=17,100,000)
[emoji1241]Then watamuongezea Tena laki sita ka value retention fee,=17,100,000+600,000=17,700,000
[emoji3581]It's very obvious huyu mtu ataendelea kulipa hili deni for the rest of his life. Halitokuja kuisha.
[emoji3591]Mungu wabariki decision makers wetu ili wawe na upeo na akili ya kutambua.[emoji24]
[emoji3591] Kwakuwa UVCCM pengine wao hawalipi huu mkopo ndiyo maana wanakuja na nyuzi za ajabu ajabu kila siku, laiti wangekuwa wanalipa wasingekuwa wapumbavu kiasi Cha kutokujua unyama unaotendeka.
[emoji3591]Mzazi if unapesa msomeshe tu mwanao...hii kitu inaitwa Mikopo Ni mateso makubwa
Wewe umeelewa mwenzako alichoandika?????SIO KWAMBA HATUTAKI KULIPA!LA HASHA,ISIPOKUWA TUNATAKA VALUE RENTION FEE IONDOLEWE(fedha ya kulinda mkopo )ya asilimia 6% kila mwaka,kwani inaturudisha nyuma hata sisi tunaojitahidi kulipa deni la helsb.Lipa wengine waweze kuzitumia pia... Na tutashauri muwe mna weka dhamana kupitia wadhamini wenu... Nyumba, viwanja etc... Ili ukishindwa kulipa basi dhamana za wadhamini ziweze kutumika na helsb...
Kikokoto cha HESLB kimekuwa mwiba kwetu tuliopitia kwao! Sijaanza kukatwa ila NAJUTA kabisaaaaa!!!Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.
[emoji1241]Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000
[emoji1241] Mwisho wa mwaka atapigwa value retention fee ya 6%=10,000,000*6%*5=3,000,000
Jumla yadeni =18,000,000
[emoji3591]Kwa mwezi atakatwa 500,000* 15%=75,000
[emoji3591] Kwa mwaka atalipa Jumla 75,000* 12=900,000
[emoji3591]Huyu mwisho wa mwaka ataongezewa tena6% ya value retention fee=10,000,000*6%=600,000
[emoji3591]This means kwa mwaka atakua amepunguza (18,000,000 - 900,000=17,100,000)
[emoji1241]Then watamuongezea Tena laki sita ka value retention fee,=17,100,000+600,000=17,700,000
[emoji3581]It's very obvious huyu mtu ataendelea kulipa hili deni for the rest of his life. Halitokuja kuisha.
[emoji3591]Mungu wabariki decision makers wetu ili wawe na upeo na akili ya kutambua.[emoji24]
[emoji3591] Kwakuwa UVCCM pengine wao hawalipi huu mkopo ndiyo maana wanakuja na nyuzi za ajabu ajabu kila siku, laiti wangekuwa wanalipa wasingekuwa wapumbavu kiasi Cha kutokujua unyama unaotendeka.
[emoji3591]Mzazi if unapesa msomeshe tu mwanao...hii kitu inaitwa Mikopo Ni mateso makubwa
Kila mwaka Ni 10% ukichelewa miaka name itakua times 6 watatoa tu hiyo miaka miwili. Hapa hatuongelei nadharia..tunaongelea reality.Lakin pia wamesha clarify hapo kwamba hiyo penalty ya 10% ya kuchelewa kulipa after 24 months ni one time payment sio kwamba eti itazidshwa kwa idadi ya miaka ulichelewa kulipa hapana.
Usimuite fala, em kuwa mkweli mbele ya Mungu, ulisoma vigezo na masharti.?Wewe fala umeelewa mwenzako alichoandika?????SIO KWAMBA HATUTAKI KULIPA!LA HASHA,ISIPOKUWA TUNATAKA VALUE RENTION FEE IONDOLEWE(fedha ya kulinda mkopo )ya asilimia 6% kila mwaka,kwani inaturudisha nyuma hata sisi tunaojitahidi kulipa deni la helsb.
Nakazia hapo..tena waache kabisa kupiga kelele au walitaka wapewe bule hizo pesa?Lipa wengine waweze kuzitumia pia... Na tutashauri muwe mna weka dhamana kupitia wadhamini wenu... Nyumba, viwanja etc... Ili ukishindwa kulipa basi dhamana za wadhamini ziweze kutumika na helsb...
Fuatilia tena ili huwe na taarifa sahihiDeni lote...if walikupa milioni kumi itakua hivyo kila mwaka
Wcha mkuu[emoji26][emoji26]Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.

[emoji23]