Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hapo unawashauri ambao wanasoma na wanataka mkopo na sisi ambao tumeshamaliza enzi izo na tulikuwa na mkopo tuachane nao sioMkuu
Kama una mkopo lipa, vyuo vya kati vina wanafunzi wengi kweli na wanasoma vizuri tu bila mkopo... Wazazi wana jifunga kibwebwe wana soma... Iweje digrii ya kwanza ndio iwe ngumu...
Mbona hatuwaoni mtaani walio feli kidato cha sita wakilia hawana ada ya kwenda vyuo vya kati...
Leo baada ya matokeo ya kidato cha NNE familia nyingi zimesha Fanya maamuzi ya kusomesha watoto wao ktk vyuo vya kati kwa levo ya certificate na diploma... Na huko hakuna mikopo...
Leo wanao soma digrii ndio iwe shida...! Lipa mkopo na wengine waweze kusoma kwa mkopo husika, huwezi kulipa mkopo au unaona sheria ni za hovyo hachana na Huu mkopo tafuta namna nyingine ya kusoma
Kuwa muelewa basi,hakuna aliyekataa kulipa,tatizo ni hiyo ongezeko la asilimia 6 Kila mwaka linapelekea deni kuchelewa kuisha.Unae jitambua ulisaini wewe pamoja na wazazi wako... Lakini kwakuwa mlijitambua zaidi hamkuelewa mlichokuwa mna kisaini na kukiomba kina tabu gani mbele...
Isimame kwa kuwaibia wanufaika au kwa kuweka fare playground..wewe uonavyo mtu kulipa milioni 18 au 30 wakati alikopa milioni 10 Ni sawa..wakati mkataba wake haukuwa hivyo..JK mngemuona mkandamizaji kama angekazia hili. Lakini ni kwa maendeleo na ustawi wa vizazi vinavyokuja nao wapate mikopo Bila shida ni lazima bodi isimamame.
Mbaya sana hii!Isimame kwa kuwaibia wanufaika au kwa kuweka fare playground..wewe uonavyo mtu kulipa milioni 18 au 30 wakati alikopa milioni 10 Ni sawa..wakati mkataba wake haukuwa hivyo..
Rekebisha hapo, mwalimu wa degree anakatwa 107,000/= sio 75,000/=Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.
🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000
🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value retention fee ya 6%=10,000,000*6%*5=3,000,000
Jumla yadeni =18,000,000
➡️Kwa mwezi atakatwa 500,000* 15%=75,000
➡️ Kwa mwaka atalipa Jumla 75,000* 12=900,000
➡️Huyu mwisho wa mwaka ataongezewa tena6% ya value retention fee=10,000,000*6%=600,000
➡️This means kwa mwaka atakua amepunguza (18,000,000 - 900,000=17,100,000)
🇹🇿Then watamuongezea Tena laki sita ka value retention fee,=17,100,000+600,000=17,700,000
✔️It's very obvious huyu mtu ataendelea kulipa hili deni for the rest of his life. Halitokuja kuisha.
➡️Mungu wabariki decision makers wetu ili wawe na upeo na akili ya kutambua.😭
➡️ Kwakuwa UVCCM pengine wao hawalipi huu mkopo ndiyo maana wanakuja na nyuzi za ajabu ajabu kila siku, laiti wangekuwa wanalipa wasingekuwa wapumbavu kiasi Cha kutokujua unyama unaotendeka.
➡️Mzazi if unapesa msomeshe tu mwanao...hii kitu inaitwa Mikopo Ni mateso makubwa
Nashukuru sana kwa hilo.Unabahati
umesoma vizuri mzee jamaa hajachukulia elimu sijui degree wala sijui nn yeye kakokotoa kwenye mshahara wa laki tano, nazan hasa hasa watu wenye diploma ndio mshahara wao TGS C1 au TGTS C1 iyo degree umesema weweRekebisha hapo, mwalimu wa degree anakatwa 107,000/= sio 75,000/=
Sawaumesoma vizuri mzee jamaa hajachukulia elimu sijui degree wala sijui nn yeye kakokotoa kwenye mshahara wa laki tano, nazan hasa hasa watu wenye diploma ndio mshahara wao TGS C1 au TGTS C1 iyo degree umesema wewe
mfano wa walimu wa diploma waliopata mkopo nibile special program ya Udom
Mkuu mm nmetoa mfano..mishahara huwa inatofautiana kukingana na sehemu unapofanyia kazi..kumbuka wanaokatwa si walimu wa serikali tu Kuna walimu wa private n.k..kuna watu pia wanadegree wanalipwa laki nne Hadi tano kwa wahindi..so it's just mfano tu kwa anayelipwa huo mshahara.Rekebisha hapo, mwalimu wa degree anakatwa 107,000/= sio 75,000/=
Mkuu mm nmetoa mfano..mishahara huwa inatofautiana kukingana na sehemu unapofanyia kazi..kumbuka wanaokatwa si walimu wa serikali tu Kuna walimu wa private n.k..kuna watu pia wanadegree wanalipwa laki nne Hadi tano kwa wahindi..so it's just mfano tu kwa anayelipwa huo mshahara...Tho unaweza wekwa kwa mfano huo unaotaka wa Mwalimu wa serikali.umesoma vizuri mzee jamaa hajachukulia elimu sijui degree wala sijui nn yeye kakokotoa kwenye mshahara wa laki tano, nazan hasa hasa watu wenye diploma ndio mshahara wao TGS C1 au TGTS C1 iyo degree umesema wewe
mfano wa walimu wa diploma waliopata mkopo nibile special program ya Udom
Wange fanya amnesty ya kuondoa adhabu na riba ibaki mikopo tuu kwa muda wa miezi sita tuu.nadhani watu wangekitokeza haraka na kulipa madeni yote mara moja.ili waepuke ghasia hii.Serikali ingekusanya fedha nyingi mara moja na kufanyia mambo ya mhimu.Sababu kwa sasa vitabu vya HESLB vinaonyesha Current Assets za uongo sababu madeni mengine hayatalipikaLet's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.
🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000
🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value retention fee ya 6%=10,000,000*6%*5=3,000,000
Jumla yadeni =18,000,000
➡️Kwa mwezi atakatwa 500,000* 15%=75,000
➡️ Kwa mwaka atalipa Jumla 75,000* 12=900,000
➡️Huyu mwisho wa mwaka ataongezewa tena6% ya value retention fee=10,000,000*6%=600,000
➡️This means kwa mwaka atakua amepunguza (18,000,000 - 900,000=17,100,000)
🇹🇿Then watamuongezea Tena laki sita ka value retention fee,=17,100,000+600,000=17,700,000
✔️It's very obvious huyu mtu ataendelea kulipa hili deni for the rest of his life. Halitokuja kuisha.
➡️Mungu wabariki decision makers wetu ili wawe na upeo na akili ya kutambua.😭
➡️ Kwakuwa UVCCM pengine wao hawalipi huu mkopo ndiyo maana wanakuja na nyuzi za ajabu ajabu kila siku, laiti wangekuwa wanalipa wasingekuwa wapumbavu kiasi Cha kutokujua unyama unaotendeka.
➡️Mzazi if unapesa msomeshe tu mwanao...hii kitu inaitwa Mikopo Ni mateso makubwa
KWA MWALIMU WA SERIKALINI MWENYE DEGREE DEGREE..
➡️MSHAHARA Aprox. 713,333
➡️ Ukiwa hajalipa mkopo kwa miaka saba atakua anarudisha (713,333*(15/100)=107,000/
➡️Kwa mwaka atakua amekusanya 1,282,999
Mkuu hivi wale wa UVCCM ndo kuwa kama walipewa mkopo chuo kwamba wakijiunga UVCCM wanasamehewa deni la mkopo au mie ndo sielewi?Let's assume mtu aliyesoma sayansi na kupata mkopo 100% ambao jumla ni kama milioni kumi (10,000,000) akakaa mtaani miaka saba, akapata ajira ya ualimu mshahara wa mtu laki tano.
🇹🇿Huyo atakua na penati ya 10% kwa miaka mitano = 10,000,000*10%*5=5,000,000
🇹🇿 Mwisho wa mwaka atapigwa value retention fee ya 6%=10,000,000*6%*5=3,000,000
Jumla yadeni =18,000,000
➡️Kwa mwezi atakatwa 500,000* 15%=75,000
➡️ Kwa mwaka atalipa Jumla 75,000* 12=900,000
➡️Huyu mwisho wa mwaka ataongezewa tena6% ya value retention fee=10,000,000*6%=600,000
➡️This means kwa mwaka atakua amepunguza (18,000,000 - 900,000=17,100,000)
🇹🇿Then watamuongezea Tena laki sita ka value retention fee,=17,100,000+600,000=17,700,000
✔️It's very obvious huyu mtu ataendelea kulipa hili deni for the rest of his life. Halitokuja kuisha.
➡️Mungu wabariki decision makers wetu ili wawe na upeo na akili ya kutambua.😭
➡️ Kwakuwa UVCCM pengine wao hawalipi huu mkopo ndiyo maana wanakuja na nyuzi za ajabu ajabu kila siku, laiti wangekuwa wanalipa wasingekuwa wapumbavu kiasi Cha kutokujua unyama unaotendeka.
➡️Mzazi if unapesa msomeshe tu mwanao...hii kitu inaitwa Mikopo Ni mateso makubwa
KWA MWALIMU WA SERIKALINI MWENYE DEGREE DEGREE..
➡️MSHAHARA Aprox. 713,333
➡️ Ukiwa hajalipa mkopo kwa miaka saba atakua anarudisha (713,333*(15/100)=107,000/
➡️Kwa mwaka atakua amekusanya 1,282,999
➡️Huyu atakua amepunguza (18,000,000- 1,282,999= 16,717,001)
➡️ Akiwekewa value retention ya laki sita atabaki na deni la=17,317,001