Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

Mkuu

Kama una mkopo lipa, vyuo vya kati vina wanafunzi wengi kweli na wanasoma vizuri tu bila mkopo... Wazazi wana jifunga kibwebwe wana soma... Iweje digrii ya kwanza ndio iwe ngumu...

Mbona hatuwaoni mtaani walio feli kidato cha sita wakilia hawana ada ya kwenda vyuo vya kati...

Leo baada ya matokeo ya kidato cha NNE familia nyingi zimesha Fanya maamuzi ya kusomesha watoto wao ktk vyuo vya kati kwa levo ya certificate na diploma... Na huko hakuna mikopo...

Leo wanao soma digrii ndio iwe shida...! Lipa mkopo na wengine waweze kusoma kwa mkopo husika, huwezi kulipa mkopo au unaona sheria ni za hovyo hachana na Huu mkopo tafuta namna nyingine ya kusoma
 
Mkuu.. hivi retention fee inapigwa kwenye original amount au remaining balance!??
 
Lakin pia wamesha clarify hapo kwamba hiyo penalty ya 10% ya kuchelewa kulipa after 24 months ni one time payment sio kwamba eti itazidshwa kwa idadi ya miaka ulichelewa kulipa hapana.
 
Lipa wengine waweze kuzitumia pia... Na tutashauri muwe mna weka dhamana kupitia wadhamini wenu... Nyumba, viwanja etc... Ili ukishindwa kulipa basi dhamana za wadhamini ziweze kutumika na helsb...
Wewe umeelewa mwenzako alichoandika?????SIO KWAMBA HATUTAKI KULIPA!LA HASHA,ISIPOKUWA TUNATAKA VALUE RENTION FEE IONDOLEWE(fedha ya kulinda mkopo )ya asilimia 6% kila mwaka,kwani inaturudisha nyuma hata sisi tunaojitahidi kulipa deni la helsb.
 
Kikokoto cha HESLB kimekuwa mwiba kwetu tuliopitia kwao! Sijaanza kukatwa ila NAJUTA kabisaaaaa!!!
 
Lakin pia wamesha clarify hapo kwamba hiyo penalty ya 10% ya kuchelewa kulipa after 24 months ni one time payment sio kwamba eti itazidshwa kwa idadi ya miaka ulichelewa kulipa hapana.
Kila mwaka Ni 10% ukichelewa miaka name itakua times 6 watatoa tu hiyo miaka miwili. Hapa hatuongelei nadharia..tunaongelea reality.
 
Tatizo lipo kwenu nyie, mnajua kabisa hamsomi vigezo na masharti hujazingatia na wengine watasoma h habari lkn watakuwa wa kwanza kuomba mkopo halafu baadae mnakuja kulia lia hapa
 
JK mngemuona mkandamizaji kama angekazia hili. Lakini ni kwa maendeleo na ustawi wa vizazi vinavyokuja nao wapate mikopo Bila shida ni lazima bodi isimamame.
 
Wewe fala umeelewa mwenzako alichoandika?????SIO KWAMBA HATUTAKI KULIPA!LA HASHA,ISIPOKUWA TUNATAKA VALUE RENTION FEE IONDOLEWE(fedha ya kulinda mkopo )ya asilimia 6% kila mwaka,kwani inaturudisha nyuma hata sisi tunaojitahidi kulipa deni la helsb.
Usimuite fala, em kuwa mkweli mbele ya Mungu, ulisoma vigezo na masharti.?
 
Lipa wengine waweze kuzitumia pia... Na tutashauri muwe mna weka dhamana kupitia wadhamini wenu... Nyumba, viwanja etc... Ili ukishindwa kulipa basi dhamana za wadhamini ziweze kutumika na helsb...
Nakazia hapo..tena waache kabisa kupiga kelele au walitaka wapewe bule hizo pesa?
 
Hakuna wa kuwaokoa watoto wa masikini katika hili zaida ya Mungu kuwachukua( kufa) kwa hao walioleta ukandamizaji huu.

WAFE TU
 
Wcha mkuu[emoji26][emoji26]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…