Bodi ya Mikopo (HESLB) na makato yao ni maumivu makubwa sana

Kama sijapata kazi katika maisha yangu yote nafanyaje
 
Sasa hapo unawashauri ambao wanasoma na wanataka mkopo na sisi ambao tumeshamaliza enzi izo na tulikuwa na mkopo tuachane nao sio
 
Ahsante kwa wazazi wangu kunisomesha pasipo kupewa msaada wa HELSB.
 
Unae jitambua ulisaini wewe pamoja na wazazi wako... Lakini kwakuwa mlijitambua zaidi hamkuelewa mlichokuwa mna kisaini na kukiomba kina tabu gani mbele...
Kuwa muelewa basi,hakuna aliyekataa kulipa,tatizo ni hiyo ongezeko la asilimia 6 Kila mwaka linapelekea deni kuchelewa kuisha.
 
Serekali inapotunga sheria muwe mnafuatilia siyo siku ya kupiga kura unaenda kuipigia CCM kama pimbi na kuona upinzani ni wasenge!
 
JK mngemuona mkandamizaji kama angekazia hili. Lakini ni kwa maendeleo na ustawi wa vizazi vinavyokuja nao wapate mikopo Bila shida ni lazima bodi isimamame.
Isimame kwa kuwaibia wanufaika au kwa kuweka fare playground..wewe uonavyo mtu kulipa milioni 18 au 30 wakati alikopa milioni 10 Ni sawa..wakati mkataba wake haukuwa hivyo..
 
Isimame kwa kuwaibia wanufaika au kwa kuweka fare playground..wewe uonavyo mtu kulipa milioni 18 au 30 wakati alikopa milioni 10 Ni sawa..wakati mkataba wake haukuwa hivyo..
Mbaya sana hii!
Hiyo retantion fee waiondoe tu.
 
Rekebisha hapo, mwalimu wa degree anakatwa 107,000/= sio 75,000/=
 
Rekebisha hapo, mwalimu wa degree anakatwa 107,000/= sio 75,000/=
umesoma vizuri mzee jamaa hajachukulia elimu sijui degree wala sijui nn yeye kakokotoa kwenye mshahara wa laki tano, nazan hasa hasa watu wenye diploma ndio mshahara wao TGS C1 au TGTS C1 iyo degree umesema wewe

mfano wa walimu wa diploma waliopata mkopo nibile special program ya Udom
 
Sawa
 
Rekebisha hapo, mwalimu wa degree anakatwa 107,000/= sio 75,000/=
Mkuu mm nmetoa mfano..mishahara huwa inatofautiana kukingana na sehemu unapofanyia kazi..kumbuka wanaokatwa si walimu wa serikali tu Kuna walimu wa private n.k..kuna watu pia wanadegree wanalipwa laki nne Hadi tano kwa wahindi..so it's just mfano tu kwa anayelipwa huo mshahara.
 
Mkuu mm nmetoa mfano..mishahara huwa inatofautiana kukingana na sehemu unapofanyia kazi..kumbuka wanaokatwa si walimu wa serikali tu Kuna walimu wa private n.k..kuna watu pia wanadegree wanalipwa laki nne Hadi tano kwa wahindi..so it's just mfano tu kwa anayelipwa huo mshahara...Tho unaweza wekwa kwa mfano huo unaotaka wa Mwalimu wa serikali.
 
Wange fanya amnesty ya kuondoa adhabu na riba ibaki mikopo tuu kwa muda wa miezi sita tuu.nadhani watu wangekitokeza haraka na kulipa madeni yote mara moja.ili waepuke ghasia hii.Serikali ingekusanya fedha nyingi mara moja na kufanyia mambo ya mhimu.Sababu kwa sasa vitabu vya HESLB vinaonyesha Current Assets za uongo sababu madeni mengine hayatalipika
 
Mkuu hivi wale wa UVCCM ndo kuwa kama walipewa mkopo chuo kwamba wakijiunga UVCCM wanasamehewa deni la mkopo au mie ndo sielewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…