Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu

Nashukuru Mola nimefanikiwa kutuma maombi,
Naomba mniambie mtu aliyechaguliwa kusoma water supply ana sifa ya kuomba mkopo?
 
Nashukuru Mola nimefanikiwa kutuma maombi,
Naomba mniambie mtu aliyechaguliwa kusoma water supply ana sifa ya kuomba mkopo?
Umefanyaje mpak ukafanikiwa kutuma mana mm nashindwa kabsa ku-submit 0766768829 msaada tafadhali
 
Hizi nyuzi hizi kuna comments nyingine duuh, ila alhamdulillaah dogo AMEPATA MKOPO na kitabu kinaendelea (diploma ya veterinary nini nini huko sijui atajua mwenyewe 🤣😂😁)
 
Ogopa matapeli.
Mkiwa wanafunzi 4000 tu wa diploma mlioomba tayari wana 1.2 billion.
Na wanaopata haiwezi kuwa zaidi ya milioni 100.
Hii nchi ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…