Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia mbinu gani kukamilisha?Nashukuru Mola nimefanikiwa kutuma maombi,
Naomba mniambie mtu aliyechaguliwa kusoma water supply ana sifa ya kuomba mkopo?
Umefanyaje mpak ukafanikiwa kutuma mana mm nashindwa kabsa ku-submit 0766768829 msaada tafadhaliNashukuru Mola nimefanikiwa kutuma maombi,
Naomba mniambie mtu aliyechaguliwa kusoma water supply ana sifa ya kuomba mkopo?
ndg unaweza ukanichek kwenye hii no 0713980427Hatimaye wameweka kipengele cha form four! Lakini sasa...
Ogopa matapeli.Samahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo.
Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo (OLAMS) education level wameweka machaguo mawili tu yaani Certificate na form 6 tu, kwa hiyo wahitimu wa form 4 ambao wameshalipia na application fee mnawasaidiaje?