Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Kama alichukua pesa za HESLB kula bata ndio atajua hajuiIkumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa β ya basic yao.
Ama kweli kula kulipa.
View attachment 1763968
Sasa unalalamika halafu unaweka ushahidi unafuta zile sehemu muhimu za kuonyesha jinsi ulivyokatwa. Huna akili kabisaIkumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa β ya basic yao.
Ama kweli kula kulipa.
View attachment 1763968
Hao Bodi watakuja kuua watu kwa msongo wa mawazo! Hapo ulipofuta hapo, lazima tu kuna wale jamaa zangu wa bayport, platinum, faidika, maboto nani sijui! nk. wameshakuumiza tayari kwa mikopo yao kiduchu huku riba ikiwa asilimia za kutosha!Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa β ya basic yao.
Ama kweli kula kulipa.
View attachment 1763968
Ndio ujue Utumishi wa umma ni umasikini uliopindukia.sasa hapo ukikatwa katwa take home ngapi
Hiyo ndiyo βsalary slipβ ya serikalini?Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa β ya basic yao.
Ama kweli kula kulipa.
View attachment 1763968
Hizo pesa zote alizokopa kapeleka wapi ??Pole Sana Mkuu,HESLB Wamekata,Bank Nao Naona Wamekata na Bado Wanaendelea Kukata,Take Home Hapo Kama Naiona Hela Ya Kulipia Chumba Tu,Chenchi Inayobaki ya Vocha.
sasa hapo ukikatwa katwa take home ngapi
Mambo Ni Mengi, Kuna Kukopa Kununua Kiwanja, Kujenga, Kurekebisha Nyumba Kijijini Kule, Kusomesha Wadogo Zake n.kHizo pesa zote alizokopa kapeleka wapi ??
Kuna sheria pia makato ya mtumishi yasizidi moja ya tatu ya mshahara wake.Asilimia kumi na tano ni ukiukwaji wa sheria
kiukweli hii nchi tupungezeni kulalamika na tuachie wanaostahili kulalamika yan basic 423000 sijui sasa take home itabaki shilingi ngapi benk ya posta hawajachukua chao maana najua mwalimu na benk ya posta ni mtu na dada ake bado loan board[emoji119]Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa β ya basic yao.
Ama kweli kula kulipa.
View attachment 1763968
Hii ndio legacy ya Magufuli.Hapo ni Kwa Taasisi za Kibenki Mkuu,Hawa Bodi Hawalijui Hilo π
No free lunch into the worldCCM ni mzigo wa matofali kwa watanzania.
Gombea ubunge na weweMshahara huo kwa kuangalia,take home yake itakuwa ni karibu sawa na posho ya mbunge ya siku moja pale Bungeni
Sheria inataka mtumishi akikatwa makato yote abakiwe na fedha isiyopungua 1/3 ya mshahara wake. Ikiwa na maana huyo ticha akikatwa piga ua anatakiwa achiwe 143,000. Hivyo mshahara wake unaweza kukatwa hadi asilimia 66 lakini asilimia 33 aachiwe mwenyewe.Kuna sheria pia makato ya mtumishi yasizidi moja ya tatu ya mshahara wake.Asilimia kumi na tano ni ukiukwaji wa sheria