Ikumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate TGTS B na diploma TGTS C) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa 1/3 ya basic yao.
Hapo ukute alikuwa anabakiwa na take home ya 1/3 sasa HESLB nao wakachukua chao 15%, nadhani atabakiwa na 1/6
View attachment 1763968