Sheria inataka mtumishi akikatwa makato yote abakiwe na fedha isiyopungua 1/3 ya mshahara wake. Ikiwa na maana huyo ticha akikatwa piga ua anatakiwa achiwe 143,000. Hivyo mshahara wake unaweza kukatwa hadi asilimia 66 lakini asilimia 33 aachiwe mwenyewe.
Sheria kandamiziSheria inataka mtumishi akikatwa makato yote abakiwe na fedha isiyopungua 1/3 ya mshahara wake. Ikiwa na maana huyo ticha akikatwa piga ua anatakiwa achiwe 143,000. Hivyo mshahara wake unaweza kukatwa hadi asilimia 66 lakini asilimia 33 aachiwe mwenyewe.
Mama atairekebishaHii ndio legacy ya Magufuli.
Hizo pesa zote alizokopa kapeleka wapi ??
Hiyo ishu HELSB hawajali kabisa hata kama utabaki na 75k haiwahusu...wana roho mbaya sanaKuna sheria pia makato ya mtumishi yasizidi moja ya tatu ya mshahara wake.Asilimia kumi na tano ni ukiukwaji wa sheria
Lakin kama alikua na kazi tayari kwanini aliamua kukopa tena Heslb..ni heri angejibana kujisomesha kwa mshahara wake
Mama atairekebisha
Sasa alaumiwe Bodi au we mwenyewe? Watu mnakimbilia kukopa wenyewe huko bayport alafu mnataka bodi ndiyo isikate hela yake kisa tu wawaachie byportKuna sheria pia makato ya mtumishi yasizidi moja ya tatu ya mshahara wake.Asilimia kumi na tano ni ukiukwaji wa sheria
Sasa kwani anaenza kukata Bodi? Yani bodi asikate hela yake kisa tu una madeni mengine huko Posta, Platnum sijui alafu wao utawapa lini hela yao?Hiyo ishu HELSB hawajali kabisa hata kama utabaki na 75k haiwahusu...wana roho mbaya sana
Tatizo umasikini wetu unakua mzigo kwetu Yani nikikaa nawaza Sana kwa nini niliombaga huo mkopo jibu linakuja Ni sababu ya umasikini.Napambana Sana wanangu wasije Soma kwa kutumia mikopo hiyo ya HeslbIkumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa ⅓ ya basic yao.
Ama kweli kula kulipa.
View attachment 1763968
Maisha magumu sanaIkumbukwe kwamba mtumishi ngazi ya cheti anaanza na TGTS B, akijiendeleza akapata shahada anatakiwa kubadilishiwa muundo na kufikia TGTS D ambayo ni mshahara ngazi ya degree.
Kwa wale waliojiendeleza wakati wa awamu ya tano (certificate na diploma) na wameshamaliza shahada zao na wakati wa masomo wakabahatika kupata mkopo wa HESLB, sasa asilimia 15% ya makato inawahusu bila kujali wapo daraja gani au wana mikopo mingapi ama wanaishi kwa ⅓ ya basic yao.
Ama kweli kula kulipa.
View attachment 1763968