Bodi ya Mikopo hiki mlichotufanyia continuous ni nini?

10,000Tshs
Wanafunzi wa mikopo wanafaidi sana kuliko wanaojilipia

Wakimaliza chuo ni changamoto..Alizoea elfu 10 kwa siku anarudi kwenye familia hiyo elfu 10 ni ya matumizi kwa siku ya familia nzima ya watu nane
 
Wanafunzi wa mikopo wanafaidi sana kuliko wanaojilipia

Wakimaliza chuo ni changamoto..Alizoea elfu 10 kwa siku anarudi kwenye familia hiyo elfu 10 ni ya matumizi kwa siku ya familia nzima ya watu nane
Ni kweli ila asilimia 99% wanatumia chini ya 4000 per day
 
Pole sana mnufaika
 
Serkali ilichopunguza ni 70k, right?
Sarakasi ulizokua unachimba mwanzo kulipa hizo gharama zinazopungua basi ongezea 70k, simple tu acha kulialia.
 
Boom wanapewa 600k mbona nyingi iko sawa na mshahara wa mtu kabsa wa miezi miwili
 
Hembu ngoja niulize
Kama sikosei 2014 ilipanda, kabla ya pale ilikua sh ngapi?
Najaribu kukumbuka kama ilikua elf 7 before, then ikaja sijui ni 8,500 au elf 10,000.
Ila kama sikose...
Katika ku sign nakumbuka kama ilikua 565,000 hivi semester ya pili.
Naomba nirekebishwe
 
Ilipanda hadi 8509 kuanzia mwaka jana ndiyo wameanza kutoa hiyo 10,000
 
Binafsi nashangaa kwanini wanalaum wangeshukur japo kwa kidg walichobahatika kupata. Wengine tumekosa kabsa na hatun matumain hata ya kwenda chuo kikuu na ni first yearπŸ˜”
Nyie mtapata wote ndiyo walengwa wakubwa Omba sana Mungu atakusaidia
 
Ilipanda hadi 8509 kuanzia mwaka jana ndiyo wameanza kutoa hiyo 10,000
Hivi wanagawanya kwa Siku ngapi? Standard.
NOTE : Najua kuna kozi zinatofautiana, hasa za afya.
 
Kuja kulipa hilo deni baada ya wewe kumaliza masomo ni mtihani, kwahiyo usilalamike furahi wanakupunguzia mzigo wa kuja kulipa baadae. Kama inakuwa changamoto kujilipia, changamsha akili kuona unafanyaje kupata hicho kiasi cha kuongezea kwa mwaka mzima,
 
Sawa mkuu
 
Hivi wanagawanya kwa Siku ngapi? Standard.
NOTE : Najua kuna kozi zinatofautiana, hasa za afya.
Siku 60 sidhani kama kuna utofauti nna jamaa yangu anasomea MD hatuna utofauti
 
Boom wanatoa 600,000 kila baada ya 2 months nipe mchanganuo na mawazo yako mkuu naweza kupata kitu
300k kwa mwezi!! Ila maisha haya, na kuna mtu mahali analipwa 150k kwa mwezi na ana familia na anatoboa daah!!!
 
Sema miaka hii suala la mkopo wa elimu ya juu ni changamoto allocation zinapangwa kwa vipengele viwili tu Meals&accomodation na Tution fees ambayo ni asilimia chache, unaweza kupewa 240k halafu ada ya course husika ni 1.5m. Kuhusu mambo ya speacial faculty, reasearch,Field na Books& stationary kwa miaka hii hawatoi labda kwa BS tena inawahusu wale wa batch ya kwanza au speacial case walioambatanisha vyeti vya vifo vya wazazi na TASAF ndo watapewa hizo 200k otherwise kwa wengine inabidi familia ijipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…