Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafunzi wa mikopo wanafaidi sana kuliko wanaojilipia10,000Tshs
Ni kweli ila asilimia 99% wanatumia chini ya 4000 per dayWanafunzi wa mikopo wanafaidi sana kuliko wanaojilipia
Wakimaliza chuo ni changamoto..Alizoea elfu 10 kwa siku anarudi kwenye familia hiyo elfu 10 ni ya matumizi kwa siku ya familia nzima ya watu nane
Uko sahihiNi kweli ila asilimia 99% wanatumia chini ya 4000 per day
Pole sana mnufaikaHabari zenu Wakuu
Bodi ya mikopo leo imeanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kutoka vyuo mbali mbali
Inafahamika kwamba allocation ilivyokuwa mwaka jana mtu aliyepata kiasi cha chini ambao mostly 80% walipata hivo ni Tshs 2.7 Million kwa mwaka wa masomo
Yaani ada kila mwanafunzi alilipiwa 230,000 tu mwaka huu kutokana na bajeti iliyoandaliwa wameongeza kutoka 2.7 to 3.0 Million lakini hii haijatugusa Continuous matokeo yake Continuous 2,630,000 ni 70elfu pungufu ya mwaka jana waliyopokea Inshort Continuous wamepunguziwa 70elfu ukilinganisha na kiasi walichopokea mwaka jana
First year wa mwaka huu ada amelipiwa kiasi cha 530,000 huyu ndo wa kiwango cha chini
It is not fair kwa kwelii naona mmefanya hivi kwa kulenga uchaguzi wa 2025 yaani mmewaumiza Continuous ili kuonesha kwa hawa first year kuwa serikali inajali sana watu wake mpaka imepandisha kiasi kutoka 2.7M to 3.0M Shame on you
Serkali ilichopunguza ni 70k, right?Nipe mchanganuo kwa wewe hapa ungefanyaje
Jumla kiasi ulichopangiwa ni 2,630,000
Ada yako ni 1,500,000 serikali itakusponsor 230,000
Unaanza mwaka kuna 100,009 ya direct cost
Unatakiwa utenge pesa ya kodi na bills nyingine ndogondogo
Kuna ada hapo unatakiwa ulipe zaidi ya 600,000 kwa semester
Chakula,nauli n.k
Boom wanatoa 600,000 kila baada ya 2 months nipe mchanganuo na mawazo yako mkuu naweza kupata kitu
Boom wanapewa 600k mbona nyingi iko sawa na mshahara wa mtu kabsa wa miezi miwiliNipe mchanganuo kwa wewe hapa ungefanyaje
Jumla kiasi ulichopangiwa ni 2,630,000
Ada yako ni 1,500,000 serikali itakusponsor 230,000
Unaanza mwaka kuna 100,009 ya direct cost
Unatakiwa utenge pesa ya kodi na bills nyingine ndogondogo
Kuna ada hapo unatakiwa ulipe zaidi ya 600,000 kwa semester
Chakula,nauli n.k
Boom wanatoa 600,000 kila baada ya 2 months nipe mchanganuo na mawazo yako mkuu naweza kupata kitu
Binafsi nashangaa kwanini wanalaum wangeshukur japo kwa kidg walichobahatika kupata. Wengine tumekosa kabsa na hatun matumain hata ya kwenda chuo kikuu na ni first year😔Boom wanapewa 600k mbona nyingi iko sawa na mshahara wa mtu kabsa wa miezi miwili
Ilipanda hadi 8509 kuanzia mwaka jana ndiyo wameanza kutoa hiyo 10,000Hembu ngoja niulize
Kama sikosei 2014 ilipanda, kabla ya pale ilikua sh ngapi?
Najaribu kukumbuka kama ilikua elf 7 before, then ikaja sijui ni 8,500 au elf 10,000.
Ila kama sikose...
Katika ku sign nakumbuka kama ilikua 565,000 hivi.
Naomba nirekebishwe
Msomi huyo 😂😂😂Fedha huandikwa kwa kutenga maelfu 2,300,000
Nyie mtapata wote ndiyo walengwa wakubwa Omba sana Mungu atakusaidiaBinafsi nashangaa kwanini wanalaum wangeshukur japo kwa kidg walichobahatika kupata. Wengine tumekosa kabsa na hatun matumain hata ya kwenda chuo kikuu na ni first year😔
Hivi wanagawanya kwa Siku ngapi? Standard.Ilipanda hadi 8509 kuanzia mwaka jana ndiyo wameanza kutoa hiyo 10,000
Sawa mkuuKuja kulipa hilo deni baada ya wewe kumaliza masomo ni mtihani, kwahiyo usilalamike furahi wanakupunguzia mzigo wa kuja kulipa baadae. Kama inakuwa changamoto kujilipia, changamsha akili kuona unafanyaje kupata hicho kiasi cha kuongezea kwa mwaka mzima,
300k kwa mwezi!! Ila maisha haya, na kuna mtu mahali analipwa 150k kwa mwezi na ana familia na anatoboa daah!!!Boom wanatoa 600,000 kila baada ya 2 months nipe mchanganuo na mawazo yako mkuu naweza kupata kitu