Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam Mkuu hapa umenena vyema kabisa na hii ndiyo HALI HALISISema miaka hii suala la mkopo wa elimu ya juu ni changamoto allocation zinapangwa kwa vipengele viwili tu Meals&accomodation na Tution fees ambayo ni asilimia chache, unaweza kupewa 240k halafu ada ya course husika ni 1.5m. Kuhusu mambo ya speacial faculty, reasearch,Field na Books& stationary kwa miaka hii hawatoi labda kwa BS tena inawahusu wale wa batch ya kwanza au speacial case walioambatanisha vyeti vya vifo na TASAF ndo watapewa hizo 200k otherwise kwa wengine inabidi familia ijipange
Mimi huwa nashangaa sana kwa BODI kuamua kuwapa mkopo zaidi wasio na uwezo wa kulipa ada huku wakijua kuwa walewale ndiyo hawana uwezo wa kulipa hiyo mikopo. Hiki kigezo siyo sawa hata kidogo. Baadaye BODI inalalamika eti waliopewa mikopo hawarudishi ili na wengine wapewe wakati sababu kubwa ya kutorudishwa mikopo wanaijua. Hii akili ya wapi sijui. Financial illiteracy!Sema miaka hii suala la mkopo wa elimu ya juu ni changamoto allocation zinapangwa kwa vipengele viwili tu Meals&accomodation na Tution fees ambayo ni asilimia chache, unaweza kupewa 240k halafu ada ya course husika ni 1.5m. Kuhusu mambo ya speacial faculty, reasearch,Field na Books& stationary kwa miaka hii hawatoi labda kwa BS tena inawahusu wale wa batch ya kwanza au speacial case walioambatanisha vyeti vya vifo na TASAF ndo watapewa hizo 200k otherwise kwa wengine inabidi familia ijipange
Huenda ni baadhi ya vyuo. mbon wengin wamewekew vile vile tuNdiyo mwaka jana ilikuwa ni 2700000 na mwaka huu ni 2630000 kwa Continuous
Pia nasikia KIUT wamewekewa kama hivyo hasa kwa continousMZUMBE,UDOM,UDSM,IAA,ARDHI hao wote wamewekewa kama nilivyosema
Iyo ada wazazi wanakusaidia kulipa ama ?? Ni kwenye hiyo 600kNipe mchanganuo kwa wewe hapa ungefanyaje
Jumla kiasi ulichopangiwa ni 2,630,000
Ada yako ni 1,500,000 serikali itakusponsor 230,000
Unaanza mwaka kuna 100,009 ya direct cost
Unatakiwa utenge pesa ya kodi na bills nyingine ndogondogo
Kuna ada hapo unatakiwa ulipe zaidi ya 600,000 kwa semester
Chakula,nauli n.k
Boom wanatoa 600,000 kila baada ya 2 months nipe mchanganuo na mawazo yako mkuu naweza kupata kitu
Haya ni MaajabuHabari zenu Wakuu
Bodi ya mikopo leo imeanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kutoka vyuo mbali mbali
Inafahamika kwamba allocation ilivyokuwa mwaka jana mtu aliyepata kiasi cha chini ambao mostly 80% walipata hivo ni Tshs 2.7 Million kwa mwaka wa masomo
Yaani ada kila mwanafunzi alilipiwa 230,000 tu mwaka huu kutokana na bajeti iliyoandaliwa wameongeza kutoka 2.7 to 3.0 Million lakini hii haijatugusa Continuous matokeo yake Continuous 2,630,000 ni 70elfu pungufu ya mwaka jana waliyopokea Inshort Continuous wamepunguziwa 70elfu ukilinganisha na kiasi walichopokea mwaka jana
First year wa mwaka huu ada amelipiwa kiasi cha 530,000 huyu ndo wa kiwango cha chini
It is not fair kwa kwelii naona mmefanya hivi kwa kulenga uchaguzi wa 2025 yaani mmewaumiza Continuous ili kuonesha kwa hawa first year kuwa serikali inajali sana watu wake mpaka imepandisha kiasi kutoka 2.7M to 3.0M Shame on you
Umeandika maduduMimi huwa nashangaa sana kwa BODI kuamua kuwapa mkopo zaidi wasio na uwezo wa kulipa ada huku wakijua kuwa walewale ndiyo hawana uwezo wa kulipa hiyo mikopo. Hiki kigezo siyo sawa hata kidogo. Baadaye BODI inalalamika eti waliopewa mikopo hawarudishi ili na wengine wapewe wakati sababu kubwa ya kutorudishwa mikopo wanaijua. Hii akili ya wapi sijui. Financial illiteracy!
Pesa ipi ya kufanyia uzinzi? Asilimia kubwa ya wanufaika hiyo pesa ya meals and accommodation inaishia kwenye ada tuPesa yenyewe mna fanyia uzinzi tu afu chuo kikiisha mna lia lia ajira pimbi nyie .mngesoma bila mkopo kama sisi mngeweza nyie
Kwani kuwa na uwezo wa kulipa mkopo wa BODI YA MIKOPO kwa anayeomba mkopo siyo kigezo kimojawapo cha kutoa huo mkopo? Labda hapo unieleweshe nielewe!Umeandika madudu
Sasa hawana uwezo wa kuulipa kabla ya kupata kazi au baada ya kupata kazi?
Uwezo wa kuulipa unapima na nini ?
Kila mkopo una sheria zake.
Hapana kulipa ama kutokulipa ni matokeo tuuKwani kuwa na uwezo wa kulipa mkopo wa BODI YA MIKOPO kwa anayeomba mkopo siyo kigezo kimojawapo cha kutoa huo mkopo? Labda hapo unieleweshe nielewe!
Ungeweka figure sahihi ya ada aliyolipiwa na serikali ingekuwa vyemaNaomba kuuliza mfano mtu kapata 80% ya mkopo na ada ya huyo mtoto ni 1365000/= hapo SUA ina maana mm ka mzazi au mlezi huyo mtoto nitamchangia kiasi gani kwenye iyo ada na hela ya kula iyo elfu 10 anakuwa anapewa mm sihusiki tena hata akiwa likizo anapewa iyo elfu 10 nauliza ili nipate kujua wengine hatujafika chuo tusije pigwa na hawa vijana wa gen Z
Hapo nmeelewa ss mkuuUngeweka figure sahihi ya ada aliyolipiwa na serikali ingekuwa vyema
Ila nadhani hapo atakuwa kalipiwa kiasi cha 1,030,000 so kiasi kilichobaki ndo utahusika nacho mzazi
Hiyo elfu 10 ya meals and accommodation atapewa kila baada ya siku 60 atakazokuwepo chuoni kipindi cha likizo hawezi kupata imehesabiwa kwa mda atakaokuwepo chuoni tu
Anayeangaliwa kuwa na uwezo wa kulipa ni mdhamini siyo mwanafunzi. Au unaongelea jambo tofauti?Hapana kulipa ama kutokulipa ni matokeo tuu
Kwa sababu mtu anaweza kuwa na uwezo wa kulipa na asilipe .
Kigezo kilichopo ni cha mdhamini na sio awe na uwezo wa kulipa ama kutukulipa.