Bodi ya mikopo mambo yameiva muda wowote kuanzia siku ya leo mambo yatakuwa hadharani

Bodi ya mikopo mambo yameiva muda wowote kuanzia siku ya leo mambo yatakuwa hadharani

MKINDE

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
43
Reaction score
45
Wana ndugu nimepata taarifa sasa hivi kupitia mwana dodoso mwenzangu aliye ndani ya HESLB na amenihakikishia ya kwamba taratibu zote za ku-upload majina ya wanafunzi waliopata mikopo ya elimu ya juu umefikia tamati hivyo muda wowote kuanzia sasa tuelekeze macho yetu ndani ya Welcome to HESLB tukajionee wenyewe mambo ya bodi. Kwa mliotembelea website ya HESLB sasa hivi mtaona baadhi ya mabadiliko katika website hiyo kwani hata kale ka alama ka-new hakaonikani tena. Mjumbe hafungwi. asanteni nimefikisha.
 
tushawazoea...nyie ni wale wale akina pokofome....
 
Haya bhana,ujumbe nimeupata lakini! Acha tuone,kwasababu ni lazima watoe,watatoa tu.Tatizo yasipotoka,na wewe ndo hatutakuona tena humu jukwaa la Elimu. Ngoja tuone.
 
toka j3 last week nimeweka page ya HESLB kama home page, kule juu kulikokua na kile ki lebo cha NEW kulikua na link mbili
APPEAL RESULTS & LOAN DEFAULTERS/WADAIWA
toka jana hayo mabadiliko nimeyaona, inawezekana mambo yameiva atii.
 
toka j3 last week nimeweka page ya HESLB kama home page, kule juu kulikokua na kile ki lebo cha NEW kulikua na link mbili
APPEAL RESULTS /LOAN BENEFICIARIES
toka jana hayo mabadiliko nimeyaona, inawezekana mambo yameiva atii.

lets wait and see
 
we ze duduz siulisema chanzo chako kimesema bodi ya mikopo haina hela,na inawezaenda hadi october? Inaonyesha chanzo chako sio cha uhakika.

nasema hivyo kwa sababu naona jamaa anawadanganya hakuna cha wiki hii or wiki inayokuja na wiki ya kesho kutwa !!
 
Vijana ingawa hii ni serikali ya Magamba,bado naamini kuwa watajitahidi kutoa mikopo kwa watu wote ambao kwa kweli ni wahitaji wa mikopo, msijali si unajua sisi ndio wapiga kura mwaka 2015 hawawezi kufanya upuuzi wa kutubania mikopo sie wakina kayumba hata kama tumechaguliwa non priority coarses
 
Back
Top Bottom