Bodi ya Mikopo ongezeni tozo walau ifike 20%

Ndiyo, wanakwambia lipa only 8% si inakatwa juu kwa juu kwenye mshahara? Wengi wetu tunataka wakate 20%
Si kweli, hata ukitaka kulipa 100% ya mshahara wako unaruhusiwa, ukishaenda kudraw mshahara wako benki, nenda kautumbukize wote kwenye account ya bodi, tuone kama haitaingia na deni lako kupunguzwa.
 
Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete hakuelewa sababu ya wanafunzi kuandamana wakati fedha ilishatoka hazina.

Mwaka 2015 lipoingia Magufuli kwa Mbwembwe ikajulikana mambo yatabadilika, lakini Bodi Mpya ikiongozwa na:

1. Madina Mwinyi, Richard Masika, Prof Anangisye, Abdul Razak Badru, Suzan Urion na Frank Mgetta wao hawaumizi kichwa ni vikao tu kudai fedha toka hazina lakini hawahangaiki na kukusanya fedha zilizopo nje pamoja na kwamba wamekuwa wakijulishwa hivyo mara nyingi tu na wasamaria wema.

Mh. Magufuli, sisi wanufaika tunaomba mje kuchukuwa hela, tunazo, tunataka watoto wetu wasome na marejesho yetu

1. Wanasheria wote, kabla ya kupata uwakili apewe invoice yake, aanze kulipa 20%

2. Wahasibu, na wengineo. Wanasheria wanakuja mahakamani, wana kesi za fedha nyingi lakini anakwambia halipi maana hakuna anayemfuatilia.

Kwakuwa BODI YA HESLB imelala na ina m-subotage Mpendwa wetu Magufuli, basi kama ikimpendeza, aitumbue, aweke wachapa kazi, waje mtaani tuwataje waliokopa na tulio wadhamini maana tunawajua, lakini hata watoto wetu wanataka kulipa la BODI haina mpango kabambe.

Kwa sasa tunalipa 15% ambayo ni ndogo kulinganisha na tunachopata kwa Mwezi na Tanzania imekuwa nchiya uchumi wa kati, basi wapandishe mpaka 20% na pia tuwekewe e mail ya kutuma majina ya wanufaika, namba zao za simu na walipo.

Ni chuki tu imekujaa , na unaelekea kuwa mchawi usipobadilika
 
Si kweli, hata ukitaka kulipa 100% ya mshahara wako unaruhusiwa, ukishaenda kudraw mshahara wako benki, nenda kautumbukize wote kwenye account ya bodi, tuone kama haitaingia na deni lako kupunguzwa.
Mfumo uliowekwa ni kukatwa moja kwa moja, kumbe na wewe ni mbulula tu uliyesoma kijiji cha ujamaa tunayozungumza hapa ni total blind.
Nazungumzia mtu anayekatwa moja kwa moja kwenye mshshsara na siyo wabeba maboksi kwa wahindi.
 
Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete hakuelewa sababu ya wanafunzi kuandamana wakati fedha ilishatoka hazina.

Mwaka 2015 lipoingia Magufuli kwa Mbwembwe ikajulikana mambo yatabadilika, lakini Bodi Mpya ikiongozwa na:

1. Madina Mwinyi, Richard Masika, Prof Anangisye, Abdul Razak Badru, Suzan Urion na Frank Mgetta wao hawaumizi kichwa ni vikao tu kudai fedha toka hazina lakini hawahangaiki na kukusanya fedha zilizopo nje pamoja na kwamba wamekuwa wakijulishwa hivyo mara nyingi tu na wasamaria wema.

Mh. Magufuli, sisi wanufaika tunaomba mje kuchukuwa hela, tunazo, tunataka watoto wetu wasome na marejesho yetu

1. Wanasheria wote, kabla ya kupata uwakili apewe invoice yake, aanze kulipa 20%

2. Wahasibu, na wengineo. Wanasheria wanakuja mahakamani, wana kesi za fedha nyingi lakini anakwambia halipi maana hakuna anayemfuatilia.

Kwakuwa BODI YA HESLB imelala na ina m-subotage Mpendwa wetu Magufuli, basi kama ikimpendeza, aitumbue, aweke wachapa kazi, waje mtaani tuwataje waliokopa na tulio wadhamini maana tunawajua, lakini hata watoto wetu wanataka kulipa la BODI haina mpango kabambe.

Kwa sasa tunalipa 15% ambayo ni ndogo kulinganisha na tunachopata kwa Mwezi na Tanzania imekuwa nchiya uchumi wa kati, basi wapandishe mpaka 20% na pia tuwekewe e mail ya kutuma majina ya wanufaika, namba zao za simu na walipo.

Watu wanalipaje mkopo wakati hawana kazi au ajira rasmi ? Usiongee kisa una uhuru wa kuongea na bando umenunua wew
 
Kwanini usingeshauri Ikiwezekana hata waweka 90% ya mshahara hakuna shida ilimradi na pia waweke riba ya 500% Kwa kila mnufaika ili iwe chanzo cha mapato
 
Ajira si lazma ujiajiri, hapa Mwanza kitangiri watu wanachemsha mayai wanauza, wanafunga maji ya kandoro wanauza, wanafanya kupaka watu rangi za kucha, wewe unataka upewe ofis, gari, AC na mke ndio useme ni ajira,? Vyuoni sijui mlifunzwa nini walah1
 
Kwanini usingeshauri Ikiwezekana hata waweka 90% ya mshahara hakuna shida ilimradi na pia waweke riba ya 500% Kwa kila mnufaika ili iwe chanzo cha mapato
jazba haikusaidii, anza kulipa
 
Mfumo uliowekwa ni kukatwa moja kwa moja, kumbe na wewe ni mbulula tu uliyesoma kijiji cha ujamaa tunayozungumza hapa ni total blind.
Nazungumzia mtu anayekatwa moja kwa moja kwenye mshshsara na siyo wabeba maboksi kwa wahindi.
Sasa kwanini unalalamika, unalalamikia nini? Kama wanaokatwa 8% wameridhika waache, wewe ambae 8% haikutoshi nenda kalipe ziada ya unayokatwa kwenye mshahara ili ifike hiyo 20%, hawataikataa. Halafu ndugu yangu, chunga lugha yako, nikianza kukujibu shombo kama unavyofanya utapata kizungu zungu nakuapia, waulize wenzako wanaobinuaga binuaga midomo humu kama wanafanyiwa masaji ya makalio
 
Wabebeba maboksi kwa wahindi hawatakiwi kulipa?
Sasa kwanini unalalamika, unalalamikia nini? Kama wanaokatwa 8% wameridhika waache, wewe ambae 8% haikutoshi nenda kalipe ziada ya unayokatwa kwenye mshahara ili ifike hiyo 20%, hawataikataa. Halafu ndugu yangu, chunga lugha yako, nikianza kukujibu shombo kama unavyofanya utapata kizungu zungu nakuapia, waulize wenzako wanaobinuaga binuaga midomo humu kama wanafanyiwa masaji ya makalio
hapa tayari ushanitukana, lakini nakuacha mana najua upo kwenye BALEHE.

Tunahitaji standard uniformity kusaidia serikali ili uchumimukue
 
Mtu anakatwa mshahara mpka take home inabaki laki mbili,leo unashauri bodi waongezwe makato....
 
KUMBUKA kuna watoto wa wanyonge toka huko ikungi hawana hata mlo na hawapati mkopo kabisa , kwanini tusigawane umaskini? laakini pia tumeona NCH yetu imeingizwa kwenye uchumi wa kati,
 
Kwa hiyo unataka wote muwe maskini?
 
hapa tayari ushanitukana, lakini nakuacha mana najua upo kwenye BALEHE.

Tunahitaji standard uniformity kusaidia serikali ili uchumimukue
Uniformity ndio hiyo 8% kwa wote, ukisema unataka 20% nitakuuliza kwanini sio 90% kabisa badala ya 20% unayopendekeza?
 
Mkuu kama unaona hyo 8% ni ndogo nenda heslb ulipe kwa mkupuo inakubalika hyo wengine bado tuko mtaani mwaka wa 4 huu.
Kwanza hakuna anayelipa 8%. Wote tunapigwa 15% wakati tuliingia contract ya 8%
 
Bodi ilianzishwa mwaka 2005 kwa lengo zuri kabisa la CCM ya KIKWETE kusaidia wanyonge. Wakurugenzi wengi walipita, Nyatega ambaye baadaye alitumbuliwa alikuwa mtu mzuri na pia alipata kashfa ya kuweka fedha hizo kwenye FIXED account kabla ya kuwapatia wanafunzi, maandamano hayakuisha na Kikwete hakuelewa sababu ya wanafunzi kuandamana wakati fedha ilishatoka hazina.

Mwaka 2015 lipoingia Magufuli kwa Mbwembwe ikajulikana mambo yatabadilika, lakini Bodi Mpya ikiongozwa na:

1. Madina Mwinyi, Richard Masika, Prof Anangisye, Abdul Razak Badru, Suzan Urion na Frank Mgetta wao hawaumizi kichwa ni vikao tu kudai fedha toka hazina lakini hawahangaiki na kukusanya fedha zilizopo nje pamoja na kwamba wamekuwa wakijulishwa hivyo mara nyingi tu na wasamaria wema.

Mh. Magufuli, sisi wanufaika tunaomba mje kuchukuwa hela, tunazo, tunataka watoto wetu wasome na marejesho yetu

1. Wanasheria wote, kabla ya kupata uwakili apewe invoice yake, aanze kulipa 20%

2. Wahasibu, na wengineo. Wanasheria wanakuja mahakamani, wana kesi za fedha nyingi lakini anakwambia halipi maana hakuna anayemfuatilia.

Kwakuwa BODI YA HESLB imelala na ina m-subotage Mpendwa wetu Magufuli, basi kama ikimpendeza, aitumbue, aweke wachapa kazi, waje mtaani tuwataje waliokopa na tulio wadhamini maana tunawajua, lakini hata watoto wetu wanataka kulipa la BODI haina mpango kabambe.

Kwa sasa tunalipa 15% ambayo ni ndogo kulinganisha na tunachopata kwa Mwezi na Tanzania imekuwa nchiya uchumi wa kati, basi wapandishe mpaka 20% na pia tuwekewe e mail ya kutuma majina ya wanufaika, namba zao za simu na walipo.
Huyu jamaa akapimwe
 
Back
Top Bottom