Bodi ya Mikopo ongezeni tozo walau ifike 20%

Tuwe wazalendo na siyo kimbelembele, tupo kwenye vita ya kiuchumi na maadui wapo ndani na nje, wa ndani ni pamoja na wakopaji wasiotaka kurejesha mikopo.
Hiyo asilimia 15 wanayokatwa huwa anatoa baba yako au???
 

If wishes were horses!

Unatumia nguvu nyingi sana kushawishi kwamba upo mahakamani, hakuna Jaji uchwara namna hii.
 
If wishes were horses!

Unatumia nguvu nyingi sana kushawishi kwamba upo mahakamani, hakuna Jaji uchwara namna hii.
nina ku-ignore, wewe ni parody mliojiunga 2019 na hamuijui jf vyema.
Kuwa mahakamani ama kutokuwepo ndiyo kutazuia hiyo 20% usilipe?
 
Wengine wanasikia raha wakitukanwa,ka wakikosa wakuwatafuna,
 
Kama hukupata mkopo kwa sababu ulikuwa kilaza ukashindwa kufikia qualifications usilaumu walikidhi vigezo, halikuwa kosa lao. Sio kwamba walifaidi sana. Shukuru tu familia yako kwa kumudu kukulipia.
 
Achana nae, hajielewi hata anachobwabwaja. Unaweza kukuta vipesa vimemtembelea ameshajiona Don anafikiri maisha ni mepesi kwa kila mtu...
 
Wachache watakuelewa, irony of the highest order.
 
Ungewasilisha ombi lako binafsi la kutaka kukatwa kiasi hicho, ingekuwa rahisi zaidi.
 
jaji mfawidhi
Wewe nafikiri unaelewa namna vijana hasa wanaoanza kazi wanavyorundikiwa madeni makubwa na loan board, mil. 20 na wengine hadi zaidi ya mil. 30. Kwa makato ya 15% mtu ndo anaanza kazi mshahara mdogo unategemea huyo mtu ataendeshaje maisha na unapendekeza hayo makato yaongezwe hadi 20%, wakati makato ambayo yalikuwa kwenye mikataba yao ni 8%. Mambo mengine muwe mnaongea kiuhalisia, mnakwaza kwa kweli....kama ni hilo deni nilishalipa labda kama watataka waendelee kunilima kama ilivyo kawaida yao..
 
Umesoma chuo gani mkuu
 
Mkataba unaweza kubadilishwa, hata mikataba ya Madini ya Mkapa imebadilishwa na mpendwa wetu Magufuli, na Wamelipa mabilioni ya kodi, huo wa Bodi itashindikana nini?
Na mpendwa wenu magufuli?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Shobo tu za mfia chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…