Bodi ya Mikopo wana mipango gani na wanafunzi waliohama vyuo

Themwendo

Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Heshima kwenu Wakuu wa JF popote mlipo.

Mimi ni mmoja wa wanafunzi waliohama chuo kimoja kwenda kingine katika mwaka wa masomo 2014/2015 lakini mpaka sasa ni semister ya pili sijapata mkopo,kiukweli maisha yangu yanazidi kua magumu hapa chuoni kila kuitwapo leo.
Wana JF kwa yeyeto mwenye experience na ishu hii naomba aniambie inachukua muda gani mpaka mkopo huu uamishwe coz loan officer wetu hapa chuoni kila siku anatuambia tutapata katika next Quater lakini ikija inakua ni hola na ninavyoandika saiv wenzangu wanasaini bumu lamwisho katika mwaka huu wa masomo.Msaada wakuu
 
Ulifanya transfer kutoka kozi gani kwenda kozi gani ?
 

ok! ahsante mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…