Bodi ya Mikopo wana mipango gani na wanafunzi waliohama vyuo

Bodi ya Mikopo wana mipango gani na wanafunzi waliohama vyuo

Themwendo

Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
19
Reaction score
1
Heshima kwenu Wakuu wa JF popote mlipo.

Mimi ni mmoja wa wanafunzi waliohama chuo kimoja kwenda kingine katika mwaka wa masomo 2014/2015 lakini mpaka sasa ni semister ya pili sijapata mkopo,kiukweli maisha yangu yanazidi kua magumu hapa chuoni kila kuitwapo leo.
Wana JF kwa yeyeto mwenye experience na ishu hii naomba aniambie inachukua muda gani mpaka mkopo huu uamishwe coz loan officer wetu hapa chuoni kila siku anatuambia tutapata katika next Quater lakini ikija inakua ni hola na ninavyoandika saiv wenzangu wanasaini bumu lamwisho katika mwaka huu wa masomo.Msaada wakuu
 
Ulifanya transfer kutoka kozi gani kwenda kozi gani ?
 
iko hivi, unatakiwa upate barua kutoka chuoni kwako yenye mhuri wa ofisi mfano mhuri wa principal na barua hiyo itadhibitisha kuwa ulihama chuo na sasa uko chuo kingine na barua hiyo unatakiwa uipeleke TCU na baadae TCU wataipeleka HESLB au tcu watakupa barua hiyo wewe uipeleke heslb na uitoe copy barua hiy😵riginal letter peleka heslb na copy mpelekee loan body officer wa chuo chako naamini utafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuliko usubiri wao wakutatulie tatizo lako.Pole kwa tatizo hilo.

ok! ahsante mkuu ngoja nifanye hivyo
 
Back
Top Bottom