Mfumo kristo upo kazini LAKINI nawaahidi ule wenu mnaochekelea ujinga huu ipo siku itagharimu damu za wapendwa wenu
Haki haiombwi huchukuliwa, mimi nlijua tu watafukuzwa lakini ndio wanazidisha moto, mnaweza kukejeli leo kwa mbwembwe nyingi na mkajuta kesho !
LoyalTZCitizen ,Niambie na huyo Mkuu wa Shule utamchapa baakora ngapi? ,unipe na yeye jina ambalo anastahili ,mbona munapenda kuangalia matokea badala ya chanzo?. Chanzo ni Mkuu wa Shule kuvuruga mazingira ya uchaguzi huru na wa haki .
breakn newzer...do whatever you do........
Tuna waislamu tunafanya nao kazi, hawako hovyo kama ninyi......mnaojiita wanaharakati shenzi kabisa....nia yenu ni chafu na tunaijua.....ni kupora dola ili lifanye mnavyotaka na kutufanya tusio wa dini yeNu second citizen........
Tumeishawabaini, tutawashughulikia kama wahuni na sio waislamu....waislamu tunawafahamu....NYIE NENDENI SYRIA Au, au misri......au LIBYA MKAUANE......leave our mother Tanzania alone!!!
Tanzania will remain as a SECULAR state....not otherwise...period! we cant just keep quite, sitting and look you doing the evils around in the name of VERY PRECIOUS ALLAH...hatuwaogopi...period!
Mfumo kristo upo kazini LAKINI nawaahidi ule wenu mnaochekelea ujinga huu ipo siku itagharimu damu za wapendwa wenu
Haki haiombwi huchukuliwa, mimi nlijua tu watafukuzwa lakini ndio wanazidisha moto, mnaweza kukejeli leo kwa mbwembwe nyingi na mkajuta kesho !
Natafuta button ya LIKE siioni. Pokea heshima yangu tafadhali kwa kuandika ukweli, notwithstanding a few editorial errors.breakn newzer...do whatever you do........
Tuna waislamu tunafanya nao kazi, hawako hovyo kama ninyi......mnaojiita wanaharakati shenzi kabisa....nia yenu ni chafu na tunaijua.....ni ktupora dola ili lifanye mnavyotaka na kutufanya tusio wa dini yeNu second citizen........
Tumeishawabaini, tutawashughulikia kama wahuni na sio waislamu....waislamu tunawafahamu....NYIE NENDENI SYRIA Au, au misri......au LIBYA MKAUANE......leave our mother Tanzania alone!!!
Tanzania will remain as a SECULAR state....not otherwise...period! we cant just keep quite, sitting and look you doing the evils around in the name of VERY PRECIOUS ALLAH...hatuwaogopi...period!
You are also haram?Boko haram- Western education is haram/sin. Need I say more?
swrc Nenda Shuleni pale Bagamoyo,uwaulize wanafunzi uchaguzi ulikuwaje na wgombea walipatikana namna gani na wadini zipi,na kwanini Waislamu walijitoa.Utaambiwa ,niko tayari kupigwa ban kama siko sahihi.
Walimu waje huku kwetu Bukoba, maana shule nyingi hazina walimu wa kutosha na watoto wetu wanapenda kusoma, waachane na hao ili wakasome madrassa zao au wakafundishwe na ndugu zao.
Sasa tusemeje? Rais ni mwiislam, Makamu wa Rais ni mwislam, IGP ni mwislam, Jaji mkuu ni mwislam, Mkuu wa mkoa wa Pwani ni Mwislam, Mkuu wa Wilaya wa Bagamoyo ni mwislam obviously na watendaji wa chini ni waislam.Mfumo kristo unakujaje? Tatizo mmnaendekeza madrassa, ngoma, majini, unajimu. Na huko Bagamoyo idadi kubwa ya population ni waislam.Ukristo unahusikaje?
Huyo mwl. naye hajiamin ndo kama yule wa pemba na zimbabwe nin?
swrc Nenda Shuleni pale Bagamoyo,uwaulize wanafunzi uchaguzi ulikuwaje na wgombea walipatikana namna gani na wadini zipi,na kwanini Waislamu walijitoa.Utaambiwa ,niko tayari kupigwa ban kama siko sahihi.
Taarifa nilizozipata hivi punde ni Kuwa RC Mwantumu Mahiza ameifunga Shule kwa muda usiojulikana na NAURI za kuwarudisha Wanafunzi kwao anatoa yeye , Wanafunzi wanaotoka karibu na shule wameshaondoka.
Shuleni palijaa Wanajeshi ,Polisi na viongozi mbalimbali wa ulinzi. Duuuuuuuuu
Mpaka sasa baadhi ya Walimu wako bado Ofisini wakiangalia taarifa za kila mwanafunzi kwenye mafaile kila mmoja anakotoka waandae NAURI za kila mmoja kuanzia kesho.