Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Wanafunzi wamesimamshwa masomo sababu kama wanavyoshutumiwa wana makosa. Mwalimu mkuu anaomba msamaha na anakiri makosa - mbona tatizo limeisha patika ufumbuzi hapo.
 
Mfumo kristo upo kazini LAKINI nawaahidi ule wenu mnaochekelea ujinga huu ipo siku itagharimu damu za wapendwa wenu

Haki haiombwi huchukuliwa, mimi nlijua tu watafukuzwa lakini ndio wanazidisha moto, mnaweza kukejeli leo kwa mbwembwe nyingi na mkajuta kesho !

mkuu hivi madrasa huwa mnapewa vyeti ?
 
LoyalTZCitizen ,Niambie na huyo Mkuu wa Shule utamchapa baakora ngapi? ,unipe na yeye jina ambalo anastahili ,mbona munapenda kuangalia matokea badala ya chanzo?. Chanzo ni Mkuu wa Shule kuvuruga mazingira ya uchaguzi huru na wa haki .

Mkuu hao wanafunzi ni wahuni na wamechukua hatua za watu walio wahuni ambayo ni ya kuchukua mamlaka yao wenyewe bila kufuata legal procedures, kwani hawakuwa na busara ya kudeal na huyo mwalimu mkuu kisheria???
 
Mbona unatoa povu sana wewe unamtishia nani nenda katishie familia yako huko sio waislamu nyambafu
breakn newzer...do whatever you do........

Tuna waislamu tunafanya nao kazi, hawako hovyo kama ninyi......mnaojiita wanaharakati shenzi kabisa....nia yenu ni chafu na tunaijua.....ni kupora dola ili lifanye mnavyotaka na kutufanya tusio wa dini yeNu second citizen........

Tumeishawabaini, tutawashughulikia kama wahuni na sio waislamu....waislamu tunawafahamu....NYIE NENDENI SYRIA Au, au misri......au LIBYA MKAUANE......leave our mother Tanzania alone!!!

Tanzania will remain as a SECULAR state....not otherwise...period! we cant just keep quite, sitting and look you doing the evils around in the name of VERY PRECIOUS ALLAH...hatuwaogopi...period!
 
Hawa wanafunzi hawana adabu kabisa, dawa yao ni kuchapwa viboko hadharani, kufukuzwa shule kabisa na kupelekwa mahakamani.

Polisi popote mlipo ninawaamrisha kuwakamata mara moja hao wanafunzi na kuwasweka rumande sasa hivi.
 
Taarifa nilizozipata hivi punde ni Kuwa RC Mwantumu Mahiza ameifunga Shule kwa muda usiojulikana na NAURI za kuwarudisha Wanafunzi kwao anatoa yeye , Wanafunzi wanaotoka karibu na shule wameshaondoka.

Shuleni palijaa Wanajeshi ,Polisi na viongozi mbalimbali wa ulinzi. Duuuuuuuuu

Mpaka sasa baadhi ya Walimu wako bado Ofisini wakiangalia taarifa za kila mwanafunzi kwenye mafaile kila mmoja anakotoka waandae NAURI za kila mmoja kuanzia kesho.
 
Mfumo kristo upo kazini LAKINI nawaahidi ule wenu mnaochekelea ujinga huu ipo siku itagharimu damu za wapendwa wenu

Haki haiombwi huchukuliwa, mimi nlijua tu watafukuzwa lakini ndio wanazidisha moto, mnaweza kukejeli leo kwa mbwembwe nyingi na mkajuta kesho !

Ptuuuuu!
 
breakn newzer...do whatever you do........

Tuna waislamu tunafanya nao kazi, hawako hovyo kama ninyi......mnaojiita wanaharakati shenzi kabisa....nia yenu ni chafu na tunaijua.....ni ktupora dola ili lifanye mnavyotaka na kutufanya tusio wa dini yeNu second citizen........

Tumeishawabaini, tutawashughulikia kama wahuni na sio waislamu....waislamu tunawafahamu....NYIE NENDENI SYRIA Au, au misri......au LIBYA MKAUANE......leave our mother Tanzania alone!!!

Tanzania will remain as a SECULAR state....not otherwise...period! we cant just keep quite, sitting and look you doing the evils around in the name of VERY PRECIOUS ALLAH...hatuwaogopi...period!
Natafuta button ya LIKE siioni. Pokea heshima yangu tafadhali kwa kuandika ukweli, notwithstanding a few editorial errors.
 
Mie naoa badala ya kuleta Ualshabab na Uboko haramu hapo shuleni ni bora tu waondoke waende wakasome ile elimu yao inayokwenda kwa jina la Elimu Akhera maana hizo chokochoko zote ni kwamba hawapendi kusoma hapo.
 
Walimu waje huku kwetu Bukoba, maana shule nyingi hazina walimu wa kutosha na watoto wetu wanapenda kusoma, waachane na hao ili wakasome madrassa zao au wakafundishwe na ndugu zao.
 
Ndugu zangu watanzania, naona sasa tunaenda ndiko siko. Inasikitisha kwamba tumefikia hatua hata chaguzi za uongozi wa wananfunzi zinaanza kufanyika kwa misingi ya dini. JK amelipeleka taifa letu kuzimu.
 
Inferiority complex,kwani kuna chuo kinafundisha ukuu wa shule?Hajisimamii huyo,kwani hakipigwa chini familia italala njaa?Akina Mugabe hao
 
swrc Nenda Shuleni pale Bagamoyo,uwaulize wanafunzi uchaguzi ulikuwaje na wgombea walipatikana namna gani na wadini zipi,na kwanini Waislamu walijitoa.Utaambiwa ,niko tayari kupigwa ban kama siko sahihi.

mkuu inaonekana na wewe ni mmoja ya waliohamasisha hizo fujo. Nimepita shule na nimefundisha shule, taratibu za uchaguzi zinaratibiwa na ofisi ya walimu chini ya kamati ya uchaguzi. Ina maana kwenu utaratibu ni tofauti? Kwa nini hamkupinga kabla ya kampeni kuanza? Nimeishi pwani, navifahamu vizee vya huko ni wavivu sana. Kutwa kwenye bao. Ukienda rufiji,kisarawe, bagamoyo ardhi imeota nyasi kibao hakuna wa kuitumia kupata hela. Wachaga wameanza kuwavamia siku hizi wawafundishe kutafuta hela.
 
Walimu waje huku kwetu Bukoba, maana shule nyingi hazina walimu wa kutosha na watoto wetu wanapenda kusoma, waachane na hao ili wakasome madrassa zao au wakafundishwe na ndugu zao.

matatizo mengine, mkuu wa mkoa mwislamu, dc mwislamu ni lazima wayaangalie haya mambo kiuislamu zaidi. Haiwezekani kufunga shule sabab ya wahuni wachache. Nani aliwatuma kufanyia kampeni misikitini? Wasingeanzisha upuuzi huo mtu wao angechaguliwa na wakristo wengi tu kwani wakristo huwa wanaangalia kufaa kwa mtu na siyo dini yake kama nyie wenzetu. Ila mkiwachokoza ndo wanapiga kura kuwaonesha kwamba wanaweza kuwafanyia. Mnakumbuka yaliyotokea udom mwaka jana?
 
Sasa tusemeje? Rais ni mwiislam, Makamu wa Rais ni mwislam, IGP ni mwislam, Jaji mkuu ni mwislam, Mkuu wa mkoa wa Pwani ni Mwislam, Mkuu wa Wilaya wa Bagamoyo ni mwislam obviously na watendaji wa chini ni waislam.Mfumo kristo unakujaje? Tatizo mmnaendekeza madrassa, ngoma, majini, unajimu. Na huko Bagamoyo idadi kubwa ya population ni waislam.Ukristo unahusikaje?

Nimekukubali M.L. hawa jamaa kazi yao kutoa wali wao nje na kuwacheza ngoma. Majini nayo ni sehemu yao ya kuyachezea ngoma wasije wakakosa wake au waume wa ujinini wakifa, eti ndo starehe yenynyewe. . Kaeni na Waislamu wenzenu walioelimika ki ukweli hawana upuuzi huu. Mwalimu eti kaomba radhi ni uzushi wako. Nimekuwepo karibu na eneo la tukio na mwanangu ni mmoja wa vijana wanaosoma hapo, anasikitikia waislamu wenzetu kueneenda pasi na hekima. Tumemlea vizuri lakini ameomba tumhamishe kisa uislamu unapotoshwa na kuchanganywa na biashara za wachache. Amani haipo tena, hata msikitini swala zimegeuka, ni majungu tu. Tumswalieni mtume tuache ushamba. Hapa tulipo tunatafuta shule mwanetu amechoshwa na yanayofanywa na waislamu wenzake, kwa kisingizio cha dini.
Mwalimu kuomba msamaha si kweli huyu mleta mada amsalie mtume aache kudanganya. Uislam ni swala, siyo magomvi. Enyi ndugu zetu wa pwani acheni kuchanganya dini na uvivu wenu.
 
swrc Nenda Shuleni pale Bagamoyo,uwaulize wanafunzi uchaguzi ulikuwaje na wgombea walipatikana namna gani na wadini zipi,na kwanini Waislamu walijitoa.Utaambiwa ,niko tayari kupigwa ban kama siko sahihi.

kwa maelezo yako wewe ni mwalimu hapo shuleni hujifichi

pia inaonekana unatumia uslam wako kuwashawishi wanafunzi kufanya vurugu..tatizo haswa inaonekana una wivu na mkuu wa shule..

Yoyote aliyopitia maelezo yako kwa kina atakugundua.
 
kwa mwenye akili ajiulize.
Huyo mwalimu ni mtu mzima na mwenye akili yake..sasa kwanini awaombe radhi wanafunzi..bila shaka anajua kwamba yeye ndo mkosa na walichofanya wanafunz ni baada ya yeye kufanya makosa.
Kusimamishwa kwa wanafunz si haki, bali mwalimu ndo wakusimamishwa cos yeye ndo alosababisha fujo...
Ushauri wa bure..member akicomment acomment kwa point zenye mana..asicomment kwa chuki za kidini..kama lengo ni kuelimishana hatutafikia huko
 
Taarifa nilizozipata hivi punde ni Kuwa RC Mwantumu Mahiza ameifunga Shule kwa muda usiojulikana na NAURI za kuwarudisha Wanafunzi kwao anatoa yeye , Wanafunzi wanaotoka karibu na shule wameshaondoka.

Shuleni palijaa Wanajeshi ,Polisi na viongozi mbalimbali wa ulinzi. Duuuuuuuuu

Mpaka sasa baadhi ya Walimu wako bado Ofisini wakiangalia taarifa za kila mwanafunzi kwenye mafaile kila mmoja anakotoka waandae NAURI za kila mmoja kuanzia kesho.

Inaonekana hili tukio limekufurahisha sana, sio kwamba unaripoti bali unashadadia na inaonekana ni mmoja wa wafadhili au wahamasishaji wa huu upuuzi wa hawa vijana wa kiislamu, kuna mdau humu kasema una wivu na ukuu wa shule tena wivu wenyewe wa kike, japo sijajua km we ni ke au me, km we me jichunge maana utaombwa mzigo soon. Inaonyesha we uko pale shuleni bagamoyo, sishangai maana kumekuwa na walimu wa kiislamu ambao wako behind this stupidity.
 
Back
Top Bottom