Bodi ya Shule ya Sekondari Bagamoyo yawasimamisha Masomo wanafunzi nane

Nilidhani kuna Mungu mmoja kumbe ni wawili, wa kweli wa amani na upendo, mwingine ni wa vurugu na kiu ya damu za watu wasio na hatia asiyeweza kijitetea mpka atetewe na viumbe wake. kweli ujinga ni mZigo mzito

Hujajibu swali
 

Overeacting
 
Natoa wito kwa wazazi, mtoto wako akifaulu kwenda mikoa ya pwani usimpeleke mtafutie shule mahali kwingine. Huko pwani waachieni wao na ngoma za kucheza wali.
 

Ukweli walimu waislamu wengi wao niwachochezi mno. Katika shule ya msingi mapambano ,kuna mtoto wa darasa la 5 aliadhibiwa kwa kuvaa soksi chafu.mwalimu aliyemwadhibu ni mkristo.Palikuwa na mwl.mkuu msaidizi mwislamu akaripoti kisa cha mtoto kuadhibiwa na mwalimu msikitini pale Mwenge.Basi,msikiti ukavamia shule ile kwa mawe.Eti mwl.mkristo kampiga binti kwa kuvaa hijabu,shitaka tofauti na mahali pasipopaswa kushitakia. Hao ndivyo walivyo.

Na huko Mbagala walimu wakristo wamefika mahali wanachelea kuwaadhibu wanafunzi waislamu.Walimu wakristo wakiwaadhibu wanafunzi waislamu panazuka machafuko shuleni.
Wanafunzi wakiislamu wameachwa wajilee kama kuku wa kienyeji katika shule nyingi huku Dar na Pwani.

Hapana shaka huo ni mkakati na mpango mahususi wa shetani kuwazuilia waislamu wasipate elimu ya kimagharibi (Boko Haramu=Elimu ya kimagharibi ni haramu). Waislamu wengi wasomi wa kimagharibi wamefika mahali wanahoji msimamo wa elimu kiislamu kwa wanawake. Huko uturuki wanazuoni, masheikh wamerekebisha madai ya Khaditi za mtume zinazomtaka mwanamke mwiislamu kutosoma ila tu anaweza kujua kusoma na kuandika tu. Kumbuka suala la binti Masala aliyelazwa huko Uingereza akitibiwa majeraha ya risasi za watalebani kumnyamazisha Masala asitetee elimu kwa wanawake.
 

maelezo yako yamejaa umbea, sioni uhusiano. unasaidiwa kufikiri?
 

nasikia ameapia akisikika kuwa wanfnz wakirudi wa kiislam ama zao,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…